Bro npe namba ako. Ishu ni kwamba hii cm tecno j5 chpset ake mpya. Kwene mtkdroid tool inashindwa kutengneza scatter file ambayo inatumika na sp flash tool kubackup rom ili nkaitumie kwene mtkdroid kutengneza cwm. Hii mt6580 wwng nmeona nao nkisearch google wanaitafuta wanakutana na tatzo kama langu. Hii cm imeahndikana kuroot kwa apps zote kama kingroot, kingoroot, framaroot, z4root, master root, na zngne kibao nmeagindwa, kwa njia ya manual hyo nayo ndo inazngua hapo.