Pixel nawaelewa wanashuka bei sana. Sahivi Pixel 7 unaipata kwa chini ya laki 4. Wakati mwaka juzi 2024 bila laki 8-9 haupati.
Tofauti na iPhone ya 2022 (iPhone 14) inamaana ilitoka na Pixel 7 bila Laki 8 uipati.
Zinavyotoka:
Pixel 7 base model, 128GB - $600
iPhone 14 base model, $700