Ferry 0755453737Kigamboni gani? Una contact zake?
Labda awe analipa simu ya mtu aliyoipoteza. Otherwise kuna options nyingi sana nyingine.S 10 plus sio ni simu nzuri...
Kama ipi mkuu..Labda awe analipa simu ya mtu aliyoipoteza. Otherwise kuna options nyingi sana nyingine.
Sijajua budget yake ila bora angetafuta A series au, PixelKama ipi mkuu..
Ni kweli simu zipo matoleo mengi sana sema si unajua tunanunua kwa sababu nilimuona Mad max anaitumia nikavutiwa nayo..kubadilika sio leo mkuuSijajua budget yake ila bora angetafuta A series au, Pixel
Pixel nawaelewa wanashuka bei sana. Sahivi Pixel 7 unaipata kwa chini ya laki 4. Wakati mwaka juzi 2024 bila laki 8-9 haupati.Ni kweli simu zipo matoleo mengi sana sema si unajua tunanunua kwa sababu nilimuona Mad max anaitumia nikavutiwa nayo..kubadilika sio leo mkuu
IPhone waongo tu wanaongeza makamera kwa version mpya nimewaelewa hawa Samsung S 26 Utra simu ipo pale ni simu kweli utakuja kusikia kelele zake ikijaa daslmPixel nawaelewa wanashuka bei sana. Sahivi Pixel 7 unaipata kwa chini ya laki 4. Wakati mwaka juzi 2024 bila laki 8-9 haupati.
Tofauti na iPhone ya 2022 (iPhone 14) inamaana ilitoka na Pixel 7 bila Laki 8 uipati.
Zinavyotoka:
Pixel 7 base model, 128GB - $600
iPhone 14 base model, $700
Hivi iPhone original wanauza duka gani hapo dar?Pixel nawaelewa wanashuka bei sana. Sahivi Pixel 7 unaipata kwa chini ya laki 4. Wakati mwaka juzi 2024 bila laki 8-9 haupati.
Tofauti na iPhone ya 2022 (iPhone 14) inamaana ilitoka na Pixel 7 bila Laki 8 uipati.
Zinavyotoka:
Pixel 7 base model, 128GB - $600
iPhone 14 base model, $700