Mr_Plan Senior Member Joined Oct 2, 2021 Posts 140 Reaction score 194 Sep 25, 2022 #1 Habari Wanajamvi Naitaji Ram ya Computer DDR2 Mwenye nayo anicheki
J JBourne59 JF-Expert Member Joined Jan 17, 2020 Posts 952 Reaction score 8,806 Sep 25, 2022 #2 Njoo uchukuwe hapa Kiseya Rukwa border ya Tz/Zambia
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,104 Reaction score 357 Sep 25, 2022 #3 DDR4 8GB bei gani wakuu? RAM ya Laptop.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,319 Reaction score 13,242 Sep 25, 2022 #4 the locksman said: DDR4 8GB bei gani wakuu? RAM ya Laptop. Click to expand... Dukani inaweza kuwa 80k+... Lakini pia kuna zile used pale Karume machinga.. beba laptop katest kabisa
the locksman said: DDR4 8GB bei gani wakuu? RAM ya Laptop. Click to expand... Dukani inaweza kuwa 80k+... Lakini pia kuna zile used pale Karume machinga.. beba laptop katest kabisa
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,104 Reaction score 357 Sep 25, 2022 #5 Uzalendo Installer said: Dukani inaweza kuwa 80k+... Lakini pia kuna zile used pale karume machinga.. beba laptop katest kabisa Click to expand... Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua?
Uzalendo Installer said: Dukani inaweza kuwa 80k+... Lakini pia kuna zile used pale karume machinga.. beba laptop katest kabisa Click to expand... Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua?
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,319 Reaction score 13,242 Sep 26, 2022 #6 the locksman said: Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua? Click to expand... Inapiga kazi fresh tu lakini si unajua kununua kitu used ni kubet
the locksman said: Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua? Click to expand... Inapiga kazi fresh tu lakini si unajua kununua kitu used ni kubet
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,065 Reaction score 43,492 Sep 26, 2022 #7 the locksman said: Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua? Click to expand... Uzalendo Installer said: Inapiga kazi fresh tu lakini si unajua kununua kitu used ni kubet Click to expand... Sema ram ngumu kuharibika ovyo ovyo, ukipata inayopiga kazi ni likely utakaa nayo miaka. Cha muhimu kwenye ddr4 angalia frequency, ram za kisasa zinaathiriwa sana na speed. Angalia ram ya sasa uliyonayo imatch na hio utakayonunua.
the locksman said: Ya zamani inapiga kazi kama mpya au ufanisi unapungua? Click to expand... Uzalendo Installer said: Inapiga kazi fresh tu lakini si unajua kununua kitu used ni kubet Click to expand... Sema ram ngumu kuharibika ovyo ovyo, ukipata inayopiga kazi ni likely utakaa nayo miaka. Cha muhimu kwenye ddr4 angalia frequency, ram za kisasa zinaathiriwa sana na speed. Angalia ram ya sasa uliyonayo imatch na hio utakayonunua.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,065 Reaction score 43,492 Sep 26, 2022 #8 Mr_Plan said: Habari Wanajamvi Naitaji Ram ya Computer DDR2 Mwenye nayo anicheki Click to expand... Nenda machinga mkuu, ddr2 siku hizi hazina issue unaweza pata hata 10,000 ama chini ya hapo.
Mr_Plan said: Habari Wanajamvi Naitaji Ram ya Computer DDR2 Mwenye nayo anicheki Click to expand... Nenda machinga mkuu, ddr2 siku hizi hazina issue unaweza pata hata 10,000 ama chini ya hapo.
Mr_Plan Senior Member Joined Oct 2, 2021 Posts 140 Reaction score 194 Sep 26, 2022 Thread starter #9 Chief-Mkwawa said: Nenda machinga mkuu, ddr2 siku hizi hazina issue unaweza pata hata 10,000 ama chini ya hapo. Click to expand... GB ngapi naweza pata Kwaiyo 10
Chief-Mkwawa said: Nenda machinga mkuu, ddr2 siku hizi hazina issue unaweza pata hata 10,000 ama chini ya hapo. Click to expand... GB ngapi naweza pata Kwaiyo 10
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,065 Reaction score 43,492 Sep 26, 2022 #10 Mr_Plan said: GB ngapi naweza pata Kwaiyo 10 Click to expand... Ddr2 nyingi ni 1gb ama 2gb ngumu kupata gb nyingi
Mr_Plan said: GB ngapi naweza pata Kwaiyo 10 Click to expand... Ddr2 nyingi ni 1gb ama 2gb ngumu kupata gb nyingi