HABARI
Naitaji PIKIPIKI aina ya FEKON AU SUNLG ambayo haijatumika sana yaani imetumika miezi 2 au 4 kwa ajili ya shughuli zangu binafsi na yenye uwezo wa 150cc - 240cc, iwe na kadi yake nitanunua kwa bei ya Tsh. 700,000/= tu ndo uwezo wangu. kwa aliyonayo basi aniPM au anisms hapa: Email:
nikprintgraphics@yahoo.com.
ni muhimu sana marafiki pls