Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,115
HahahahahahaApokee simu ucku wa manane unataka kumtoa kafala mtoto wa watu ama nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya dadaz mkuje huku
Usiku wa manane sasa wewe sijui utakuwa unalala saa ngapi?Apokee simu ucku wa manane unataka kumtoa kafala mtoto wa watu ama nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya dadaz mkuje huku
Broo Just frend tuu hata yeye anakibali cha vyote hapo juu.Unakwama wapi kumwomba Mungu kibali cha Mke mwema tu, mbona hayo yote uyawazayo juu ya hu Mke yamejikita katika Mke mwema?
Weeee kwanza kanitisha alivyo sema ucku wa manane apokee simu maana kaweka msisitizo kabisaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza huyo mkaka me nadhani mi nayeye hata masaa 24 hayawezi pita tutakua tusha gombanaUsiku wa manane sasa wewe sijui utakuwa unalala saa ngapi?
Dadaz wako under 25. Naona unafaa [emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akukubalie nani mashari kama mganga wa kienyeji pole[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]mselelekoHahahahahaha
We kama hizi sifa huna paki pembeniiiii[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilijiwekeaga vigezo kama hivyo hatimaye nilichemka, mpatie uhuru Mungu akipatir Mke mwema maana Mungu hutujua sisi Binadamu rohoni kitabia, kiakili, kiutendaji, kifikra, kiafya, kimaarifa, kihekima n.k.Broo Just frend tuu hata yeye anakibali cha vyote hapo juu.
Coz sitamani mdada ambae yupo yupo tuu asie elewekaa kakaaa
Haha haha we kama hamnazo paki kuleeee🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akukubalie nani mashari kama mganga wa kienyeji pole[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]mseleleko
Umedoda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha haha we kama hamnazo paki kuleeee[emoji1787]
Nikadodekaaa kwa sifa hizoo acha tuuUmedoda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KWA ela gani ulo kua nayo labda umpeleke kwenu koromije [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Nikadodekaaa kwa sifa hizoo acha tuu
Anicheki PM ni mkodishie ndege aka talii Dubai na Paris Ufaransaaa[emoji3059][emoji3059]
Am hereBroo Just frend tuu hata yeye anakibali cha vyote hapo juu.
Coz sitamani mdada ambae yupo yupo tuu asie elewekaa kakaaa
KWA ela gani ulo kua nayo labda umpeleke kwenu koromije [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ati nini? [emoji849][emoji849][emoji849]BabyFancy naomba namba yako ya simu [emoji39]
DmAm here
Acha kudenguaa mpelekee nambaaAti nini? [emoji849][emoji849][emoji849]
Ati nini? [emoji849][emoji849][emoji849]
Hahahahahaha...KWA ela gani ulo kua nayo labda umpeleke kwenu koromije [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]