Naitaji mwanadada wa kumuoa

Naitaji mwanadada wa kumuoa

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
Kichwa cha habari hapo juu cha husika,

Jinsia yangu ni mwanaume urefu wastani rangi ya kunde na mail wa wastani sio mnene wala mwembamba elimu chuo kikuu kazi serikalini dini Mkristo, lugha nne Kiswahili, Kingeleza, Kifaransa na Kihehe, naitaji mwanadada awe na umri kuanzia 18_28
 
Mie napenda nikisikia mtu anaongea kingeleza Jamani 🙈...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom