wakuu mambo vipi? naitaji mashine ya kunyolea ndevu zile zenye vitairi sijui inaitwaje... kwa yoyote mwenye nayo mpya anipm.....
Hata sijapata kuiona!
wakuu mambo vipi? naitaji mashine ya kunyolea ndevu zile zenye vitairi sijui inaitwaje... kwa yoyote mwenye nayo mpya anipm.....
Acha upumbavu wako.... naona unawashwa ww.. kwani ni lazima uandike kitu?
wewe unaleta pumba zako unataka tukuchekee? hivi ukienda duka la game mlimani city utakosa unachotaka? au hata kariakoo hupajui?
na kama upo mikoani hak7na maduka ya cosmetics kama s.h amon?
hovyooooooo!!