Naitaji kutumia org yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitaji kutumia org yako

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by herrypeter1, Jan 30, 2012.

 1. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello happy people,
  una organization ambayo inayo ofisi dar es salaam,
  naitaji kutumia org yako kufanya project yangu.

  Kama unayo ambayo imesajiliwa na ina ofisi please tuwasiliane.....

  Unaweza ni pm kwa ili
   
 2. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Nina org ila imekosa usimamiz mzur kwa hyo ni kama inakaribia kufa.Kama unajiamini unaweza ni pm 2zungumze jambo kaka
   
 3. networker

  networker JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  iko org mmoja imesajiliwa kila kitu bado tu haija anza kufanya project na ina watu kumi na 12 wote wamemaliza chuo n they can help you out utumie org yao contact ya chairman wao ni 0713910219, General secretary ni 0717782878 .org yenyewew ina itwa TMLO.suite yourself
   
 4. N

  NYAKATALE New Member

  #4
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We have a company called"Tanzania Association of Professional Business Development Services providers(TAPBDS),for trainings and consultancy on all issues related to
  entrepreneurship
  business management
  project management
  plus many other interesting subjects.we are registered and have our office at Makumbusho..for details,please contact me at
  0755 181027
   
 5. v

  vision 2020+ Member

  #5
  Feb 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  ndio ndugu ninayo,ipo pouwa na pia ipo maeno ya kufahamika,pia tumeshafanya kazi mbili tatu call me:+255717109362
   
Loading...