Kuna mchezo mmoja naupenda sana,ambao ni sawa na kubet,naitaji kuutengenezea program ambayo itakuwa kwenye mitandao,watu watabet na kuona live kama amepata ama amekosa,kila mchezo,mshindi analipwa mara 2 pesa aliyoitumia,mfano 50 inazaa 100 nk, nani ataweza awe IT wangu? nimwelekeze namna itakavyokuwa