Naitaji kua mwanachama wa chadema

Naitaji kua mwanachama wa chadema

karibu sana ila tunakuonya usigombee uwenyekiti, usiulize mapato na matumiz, uwe unajitolea nguvu na pesa ili viongoz waende dubai, uwe tayar kuvumilia viongoz wakipokea pesa za rostam na mkono. naamin utakuwa mwamachama NDIO

Hii inahusu wana-CDM pekee...Wewe umetokea wapi!!!

Kaanzishe uzi wako kuhusu magamba mchangie..

Narudia tena ..Uzi huu tunamkaribisha ndugu yetu CDM..
 
Hii inahusu wana-CDM pekee...Wewe umetokea wapi!!!

Kaanzishe uzi wako kuhusu magamba mchangie..

Narudia tena ..Uzi huu tunamkaribisha ndugu yetu CDM..

Ni vyema na ninyi Chadema mkubali kukosolewa iwapo kuna kasoro.Sidhani kwamba ninyi ni wakamilifu100%.
 
Back
Top Bottom