Naitaji kua mwanachama wa chadema

Naitaji kua mwanachama wa chadema

M2 wa wa2

Member
Joined
May 25, 2012
Posts
25
Reaction score
2
Ndugu zangu wana JF sijawahi kua mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kwa sasa nafsi yangu inaniambia napaswa kujiunga na CHADEMA na kinachonivutia ni namna ambavyo wanafanya maamuzi magumu bila kujali anaefayiwa maamuzi hayo ni nani na anacheogani mladitu anapaswa kuwajibishwa hii inanipa imani kua kama chama hakimuogopi mtu wakati kinatafuta namna ya kushika dola basi hakitamuogopa mtu hata baada ya kushika dola hivyo itakua ni rahisi kuwawajibisha viongozi wazembe wa serikali hali ambayo italeta maendeleo kwa taifa na wananchi kwa ujumla.

Naomba kuwasilisha.
 
Karibu sana kamanda, tuikomboe nchi yetu Tanzania iliyojaa rasilimali nyingi.
 
Nadhani unajua rangi zao..mkamat eyeyote aliyevaaa mwamabi akupeleke pa kupata kadi.mengine tutakautana ktk harakati.
 
Krb sn mkuu tuns kukaribisha mkuu hii ndo nguvu ya umma!!
 
Duuuuh kwl nimeamin humu hawalali wote wako online
 
My brother you have chosen the winning side, you will never regret.
 
Wote wangekuwa namtazamo wa mbali hivyo tanzania ingekuwa ishakombolewa kitambo.
 
nakupongeza hata bila kadi unaweza kuijenga CDM. Anza kazi ya kujenga chama.
 
Ni jambo jema kujitambuwa kifikra.....karibu mjengoni
 
Karibu mkuu ila jitahidi kuvumilia matusi yatakayo fuata baada ya wale waliovimbiwa buku 7 kuamka
 
Karibu. CDM inachukia usaliti kama ukoma. Tafuta uzi za mmoja hapa jf anaitwa 'betlehem'
 
Karibu sana Mkuu. M2 wa wa2..Ni maamuzi sahihi sana..
 
Last edited by a moderator:
karibu sana ila tunakuonya usigombee uwenyekiti, usiulize mapato na matumiz, uwe unajitolea nguvu na pesa ili viongoz waende dubai, uwe tayar kuvumilia viongoz wakipokea pesa za rostam na mkono. naamin utakuwa mwamachama NDIO
 
Back
Top Bottom