Naitaji chumba dodoma mjini au Maeneo jirani

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,720
Reaction score
2,393
Please naitaji room, iwe nzuri & mazingira mazuri..... mwenye nayo please... naomba unipe namba zako nikutafute haraka .... nipo online 247
 
Uweke na pesa yako nikupe chumba au nyumba unaeza kulipa Bei gani kwa mwezi
 
Vyumba viwili na sebule choo ndan na jiko kama ikiwezekana kwa laki moja. Isiwe mbali na mjini na pia gari iwe inafika kirahis 0658047048
 
Laki moja kwa vitu vyote hvo,hapo hata punda hawezi fika sio gari tu....yani hapo ni porini mlimani kabisa...
 
Please naitaji room, iwe nzuri & mazingira mazuri..... mwenye nayo please... naomba unipe namba zako nikutafute haraka .... nipo online 247
Chumba self 80 kwa miez mitatu kipo mitaa ya stjohn kikuyu nyumba ina fensi nichek@0656 548919
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom