Naitafuta riwaya ya mkimbizi

Naitafuta riwaya ya mkimbizi

Ddah umenikumbusha kitabu changu sijui nilimuazima nani akaenda nacho mamoja , Sijui havipatikani bookshops!
 
Bonge moja ya riwaya Kama movie kitambo 2004 ila kwangu kunabaki Bora Facebook kipo ila hajakimalizia hadi mwisho.
 
Kama Kuna mtu ana hii riwaya inaitwa Mkimbizi iliandikwa na Hussein Tuwa (Kama sijakosea) naomba anipatie au aiweke hapa.

Niliisomaga zamani sana kwenye magazeti pendwa wakati ule yaliyokuwa yanatoka kila week
Ukiipata ni tweet hapa hapa Facebook kwa Instagram handle yangu ya WeChat
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom