Summer ni shidaaaaAiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
Hivi kumbe kuna watu mliendelea kuangalia Planet Bongo baada ya Salama Jabir kuondoka.Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
Dulla naonaga anarembua tu macho na kukaribu kuleta vimisemo ambavyo havivumi.Planet Bongo haiko relevant sikunyingi, sikumbuki mara ya mwisho kuiangalia. Btw Dulla ni talent, namtakia kila la kheri huko aendapo, japo najua hawezi kuchukuliwa wasafi maana nasikia huwa anamchukia Diamond
Kwani B12 bado yupo Mawingu?Anaenda kuua kipaji kama mwenzake b12
Labda aungane na Millard kwa Amplifaya.Ataingia kipindi gani?
Maana XXL iko full..
Kituo chake cha kazi, japo sikumbuki vizuriNan alimpa?
Amplifaya akafanye nini huku hana hata diploma ya uandishi wa habari?Labda aungane na Millard kwa Amplifaya.
Aiseee kipindi kitaboa sana maana Lesa Sidi ,Fredoo Munji na Dulla +DJ Summer TZ ilikuwa bonge la kombinenga ila kwasasa hata Lesa sidi hasikiki tangia wiki iliyopita labda na yeye anasepa...Yupo Fredoo peke yake.
π³π³π³ Duuuuuh noma sana,ndio maana sijamsikia kitambo!! Sijajua kwanin hawa watangazaji wakishaondoka media tuliyowazoea wakienda nyingine wanapwaya sana au wanapoteza wafuasi.Lesa ashasepa yuko clouds plus
Jamaa hakua amesomea kulingana na matakwa ya serikali nahsi kaamua kujitoa mapema
π³π³π³ Duuuuuh noma sana,ndio maana sijamsikia kitambo!! Sijajua kwanin hawa watangazaji wakishaondoka media tuliyowazoea wakienda nyingine wanapwaya sana au wanapoteza wafuasi.
Tell them...B 12 na kipindi chake cha jioni ni miongoni mwa vipindi bora ....
Hata mshahara wa kwanza hajala bado
Sasa kwanini waigize hivo?Sidhani kama alipewa Benz kweli,itakuwa maigizo tu yao!! EA radio walimpa cheo cha urais wa bongo fleva ndio wakasema rais lazima awe na ndinga ya ukweli,ndio wakampa Benz(hapa ilikuwa sanaa tu
=Si unajua tasnia ya bongo fleva/movie/habari wanaenda na trending kupata kiki? Walikuwa wana introduce kitu kipya Ea radio ,ili kupata mileage(coverage/trending) ndio wakaona wampe benz dullah.(Maigizo).Sasa kwanini waigize hivo?
Halafu wewe ile range yangu hadi leo haijafika