Naisikitikia JUMAPILI.

Ufalme wa mbinguni hautawapita kando.
 
he he sungura1980 sie tulikaa mbele kabisa. siku ya mungu hii bwana hakuna kula wala kuliwa
 
Last edited by a moderator:

Vipi wewe umeshawahi kuliwa Jamapili....?
 
Dah kweli kabisa hata mimi huwa jumapili huwa nakula mzigo tena baada ya misa kanisani
 

mi sijawahi ila natamani kweli help me chatts55
 
Hata mimi naiskitikia sana...!!!

Monday nadhani ndo siku takatifu kuliko zote...
 
hahahahah,monday is always cool,that's why wengi wanaihate na kuipa majina a ajabu ajabu
Hata mimi naiskitikia sana...!!!

Monday nadhani ndo siku takatifu kuliko zote...
 
Hahahahahahah umenichekesha sana ndugu yangu sungura1980. Nimecheka mpaka mbavu zinauma

 
ulikuwa unawaza nini mpaka kuanzisha hii mada? in maana kubwa sana
 
Ni kweli. Hata me nikiwa na mishe zangu uwa sibebi chochote kati ivyo kwani uwa naona kama ni mzigo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…