Ndio maana pako kimya sana hapa wengi wameenda KANISANI ehhh?
Siku ambayo wakristo wengi wanaithamini kwa kwenda makanisani kuabudu.
Cha ajabu siku hii imekuwa ya kutenda maovu kwa sisi akina dada wengi sababu ya uhuru tunaopewa majumbani mwetu.
Wengi tunaliwa sana "Jumapili
na wengi wanakula sana Jumapili
Fanya tathmini uone ni siku gani unaongoza kula ama kuliwa.
Wengi walianza dhambi na kusema uongo toka zamani! Ka research kadogo tu kinaonesha jumapil ndo siku watoto wengi wananunua pipi,biscuit,soda..and the like! Wanagawana sadaka na Muumba!
so umri unapo ongezeka na matendo yanabadilika na kufanya maovu zaidi. Na ogopa binti au mvulana amevaa kapendeza anaenda kanisani hana biblia wala kitabu cha nyimbo! Even a notebook and pen ku note mafundisho na mahubiri!
Duhh hadi watoto wanakula sadaka,wakubwa short times!!!Kweli hao wanaoenda kwenye ibada bila kitabu chochote cha neno la Mungu kuna uwezekano mkubwa sana wakapitiliza kwenda short times.Unajua nini kama umetoka na biblia itakusuta kuingia nayo kwenye room ya 6*6!
Heri yangu mie nimetoka kanisani na niko nyumbani najiandaa baadaye kwenda kwenye vikao vya harusi si mnajua tena leo ilivyo Jpil Munkari naye yupo nyumbani!@Kaizer Mokoyo na DEMBA sijawaona kanisani vipi kulikoni?
Ndio maana pako kimya sana hapa wengi wameenda KANISANI ehhh?
Kwangu mimi ni siku ya mapumziko..You are right my dear sisi leo tulikuwa kanisani.... ni siku ya Bwana leo. wewe hukuenda?