Naishauri CCM Kuelekea 2015

Naishauri CCM Kuelekea 2015

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,270
Reaction score
549
Ni ushauri wa bure, kwa wale wote wenye mapenzi mema na CCM viongozi pamoja na wanachama wao kwa ujumla

Zingatieni yafuatayo badala ya kuendelea kukimbizana kujipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu mwaka 2015,

1. Je maisha bora kwa kila mtanzania yatakuwa yamewezekana ?

2. Magamba mtakuwa mmejivua kabla ya 2015 ?

3. Ahadi zilizokuwa zimetolewa na Mgombea wa chama (CCM) katika uchaguzi wa 2015 je zitakuwa zimetekelezwa angalau kwa asilimia 70 ?

4. Je madai ya walimu pamoja na baadhi ya watumishi wanaoidai serikali yatakuwa yametekelezwa ?

5. Baada ya kuueneza propaganda chafu katika siasa za udini, ukanda, ukabila n.k sura ya chama chenu kwa Watanzania sio nzuri kabisa, je kabla ya 2015 mtakuwa mmewaomba radhi watanzania na wakawa wamewaelewa ?

6. Kuweka mazingira mazuri ya ajira kwa vijana, kumegua na ongezeko kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana , watu wanamaliza vyuo vikuu wanakaa mtaani hadi miaka 3 , je serikali ya ccm itakuwa imeweza kutatua hilo kabla ya 2015 ?

7. Je mtakuwa na mgombea makini wa kusimama kwa nafasi ya urais wa kuonyesha ushindani na akapita ?

Kama katika maswali hayo machache tu CCM itakuwa katika kipindi walichopewa dhamana ya kuongoza taifa hili itakuwa haijatimiza kwa kiwango cha kuridhisha na baadhi ya mambo hawajaweza kutatua ndani ya chama chao.

Ni ushauri wa bure hakuna haja ya kuingia kushiriki uchaguzi mkuu 2015, ni bora mkajitoa mtafakari kilicho wasibu mrekebishe mkajipanga kwa uchaguzi wa 2020 vinginevyo inaenda kura kwenu mapema
 
huyu kwa vyovyote vile atakuwa ni mangi tu......hatuwapi nchi ng'o!
 
attachment.php

Kwa sasa magamba wako busy kutayarisha vijana wapiganaji ili kukwapua ushindi kwa nguvu 2015. Wakihitimu mafunzo hayo ya mauaji wanapewa vyeti. Huyu Tendwa sijui atasemaje kwa ushahidi huu!!!
 
Ni ushauri wa bure, kwa wale wote wenye mapenzi mema na CCM viongozi pamoja na wanachama wao kwa ujumla

Zingatieni yafuatayo badala ya kuendelea kukimbizana kujipanga kwa ya uchaguzi mkuu mwaka 2015,

1. Je maisha bora kwa kila mtanzania yatakuwa yamewezekana ?

2. Magamba mtakuwa mmejivua kabla ya 2015 ?

3. Ahadi zilizokuwa zimetolewa na Mgombea wa chama (CCM) katika uchaguzi wa 2015 je zitakuwa zimetekelezwa angalau kwa asilimia 70 ?

4. Je madai ya walimu pamoja na baadhi ya watumishi wanaoidai serikali yatakuwa yametekelezwa ?

5. Baada ya kuueneza propaganda chafu katika siasa za udini, ukanda, ukabila n.k sura ya chama chenu kwa Watanzania sio nzuri kabisa, je kabla ya 2015 mtakuwa mmewaomba radhi watanzania na wakawa wamewaelewa ?

6. Kuweka mazingira mazuri ya ajira kwa vijana, kumegua na ongezeko kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana , watu wanamaliza vyuo vikuu wanakaa mtaani hadi miaka 3 , je serikali ya ccm itakuwa imeweza kutatua hilo kabla ya 2015 ?

7. Je mtakuwa na mgombea makini wa kusimama kwa nafasi ya urais wa kuonyesha ushindani na akapita ?

Kama katika maswali hayo machache tu CCM itakuwa katika kipindi walichopewa dhamana ya kuongoza taifa hili itakuwa haijatimiza kwa kiwango cha kuridhisha na baadhi ya mambo hawajaweza kutatua ndani ya chama chao.

Ni ushauri wa bure hakuna haja ya kuingia kushiriki uchaguzi mkuu 2015, ni bora mkajitoa mtafakari kilicho wasibu mrekebishe mkajipanga kwa uchaguzi wa 2020 vinginevyo inaenda kura kwenu mapema

Naomba kuongzea
8.Ccm wajue kamba walipewa ridhaa ya kuongoza sio kutawala, waache kiburi, dharau na vitu ambavyo vinakiuka haki za binadamu
 
Ushauri mzuri ccm wataufanyia kazi ipasavyo. Ila machadema yajiandae kufa wakati wwte
 
Ccm imeweza kutanua wigo wa elimu hapa nchini hata suala la ajira litapata ufumbuzi wa kudumu sio mda mrefu, kikubwa vijana waliopo wasikubali kuvaa mabomu, wakatae kupewa tindikali kwenda kumwagia watu, wakatae kutembea na sumu tena hadi bar kuwalisha wenzao ili wawe ni vijana wema ktk taifa kuweza kutumikia nchi yao ipasavyo
 
kumbe nyie magamba ndio mnaua watu!! Hata mliorusha bomu Arusha ni ccm wanahusika...ccm ni magaidi,wauaji,watesaji n.k
 
Ccm imeweza kutanua wigo wa elimu hapa nchini hata suala la ajira litapata ufumbuzi wa kudumu sio mda mrefu, kikubwa vijana waliopo wasikubali kuvaa mabomu, wakatae kupewa tindikali kwenda kumwagia watu, wakatae kutembea na sumu tena hadi bar kuwalisha wenzao ili wawe ni vijana wema ktk taifa kuweza kutumikia nchi yao ipasavyo

mnafiki mkubwa wewe,hadi leo hii miaka hamsini ya uhuru...bado tuna tatizo la elimu,je miaka iliyopita mlikuwa mnafanya nini,mijitu mingine bhana..acha upinda wewe,...mbona uko kama msukule wewe
 
Vitendo vya kigaidi vinavyotekelezwa na magaidi ndio vimechangia sana kukwamisha baadhi ya mambo hapa nchini
 
Asante sana kwa ushauri mkuu , mimi na wanaCCM wenzangu tunafikiria kusubiri hata mpaka 2025 , ule umati wa Mbalizi umetukatisha tamaa sana . CC VUTA NKUVUTE.
 
mnafiki mkubwa wewe,hadi leo hii miaka hamsini ya uhuru...bado tuna tatizo la elimu,je miaka iliyopita mlikuwa mnafanya nini,mijitu mingine bhana..acha upinda wewe,...mbona uko kama msukule wewe

tatizo la elimu lipi au elimu ya uchawi,mbona kila sehemu tanzania watu wanapata shule tena yenye kiwango kizuri.
 
Kuna jamaa hapo juu anakwepa maswal analeta siasa. Unajua tumechoka na ccm 100% i swear co utan. Let say unamwmbia mtoto wako ntakuletea nguo mpya then ukirud unasema nlisahau atajisikiaje? . Ukweli humweka mtu huru na uongo haudumu ndo yanayotokea .watu wamechoka na ahadi hewa
 
Asante sana mkuu.hii imenifurahisha kweli kweli .na ni ukweli halisi.ccm na serikali yake inarudi nyuma kwa kasi ya ajabu sana
 
huyu kwa vyovyote vile atakuwa ni mangi tu......hatuwapi nchi ng'o!

umeona sera zenu za ukabila ukanda jinsi zinavyokitafuna ccm, hivi kwa akili yako unafikiri CHADEMA ni ya akina mangi , CHADEMA ni ya Tanzania nzima hakuna nchi hii utakako enda ukose wanachama wa chadema , wanafurika kwenye mikutano bila kusombelewa na malori kama mfanyavyo ccm, nakupa pole ndugu yangu
 
tutajirekebisha kabla ya 2015 ikiwa ni pamoja na kuwaweka wagombea mahiri wasiotumia fedha ndani ya chama
 
Ccm imeweza kutanua wigo wa elimu hapa nchini hata suala la ajira litapata ufumbuzi wa kudumu sio mda mrefu, kikubwa vijana waliopo wasikubali kuvaa mabomu, wakatae kupewa tindikali kwenda kumwagia watu, wakatae kutembea na sumu tena hadi bar kuwalisha wenzao ili wawe ni vijana wema ktk taifa kuweza kutumikia nchi yao ipasavyo

uuuwiii..machakato..minyanyato..mipango kamambe ...mipango mipango mipaaangooo and more miiiipangoooo...aaaah yawn yawn..boring:disapointed:
 
Back
Top Bottom