Nairobi wamekula kinyesi, tujihadhari

Nairobi wamekula kinyesi, tujihadhari

pansophy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
502
Reaction score
320
Taarifa za hivi punde zinaonyesha majirani zetu wamekula kinyesi, Jeshi la uhamiaji tafadhali liwe makini kwani kupata kipindu pindu ni fedheha sana. Wakazi wa mipakani pia ni vyema mkachukua tahadhari kwa kuzingatia usafi.

Source:
 
Chanzo cha kipindupindu ni uchafu....waafrika tumezidi mno kuukumbatia uchafu madhara yake ndio haya. Mbona nchi za wazungu, waarabu na far east hakuna!
 
Sasa cha ajabu nini ?,Kipindupindu huwa hakitokei kwetu?
Subiri mvua zianze kunyesha.Sio utamaduni wetu kufurahia matatizo ya wenzetu.
Usimtupie jirani mawe wakati nyumba yako ni ya vioo.
Mvua zimenyesha, zimemaliza, zimebaki rasharasha bado tusubirie kipindupindu?

Cha ajabu ni nchi inayodai imeendelea kiuchumi kukumbwa na kipindupindu.
 
Taarifa za hivi punde zinaonyesha majirani zetu wamekula kinyesi, Jeshi la uhamiaji tafadhali liwe makini kwani kupata kipindu pindu ni fedheha sana. Wakazi wa mipakani pia ni vyema mkachukua tahadhari kwa kuzingatia usafi.

Source:

Uchafu upigwe vita...
 
India na yemen na iran wanakufa kwa kipindupindu acha kuongea usichikijua
Chanzo cha kipindupindu ni uchafu....waafrika tumezidi mno kuukumbatia uchafu madhara yake ndio haya. Mbona nchi za wazungu, waarabu na far east hakuna!
 
Mkuu miundo mbinu ya maji ndio tatizo sio uchafu. Hakuna asiyejua madhara ya kipindupindu.Kunapotokea mafuriko halafu na ujengaji wetu wa mitaani. Vyoo vinasombwa na maji na mchanganyiko wa kinyesi na maji husababisha kipindupindu.
 
Sasa cha ajabu nini ?,Kipindupindu huwa hakitokei kwetu?
Subiri mvua zianze kunyesha.Sio utamaduni wetu kufurahia matatizo ya wenzetu.
Usimtupie jirani mawe wakati nyumba yako ni ya vioo.
Kipindupindu hata kwetu kinatokea, lakini kikitokea ni fedheha kubwa sana kwa taifa. Ndio maana tukajijwekea utaaratibu wa kufanya usafi kila jumamosi na usafi wa pamoja mwisho wa mwezi. Ndio maana ukipata ugonjwa huu unatengwa ukiwa unapatiwa matibabu.
Kama ulihisi kitakuja kwetu imekula kwako, msimu wa maembe na mvua umeisha, hakika tumevuka salama.
Jirani yetu ajipange!!!!!
 
India na yemen na iran wanakufa kwa kipindupindu acha kuongea usichikijua

The following countries are considered to be located in the Far East: China, Hong Kong,Macau, Japan, North Korea, South Korea,Mongolia, Siberia, Taiwan, Brunei, Cambodia,East Timor, Malaysia, Laos, Indonesia,Myanmar, Singapore, Philippines, Thailand, and Vietnam.

Ktk hizo👆 nchi ushasikia wamepata kipindu-pindu?

India ikwapi hapo? Au hujui maana ya Far east!!

Iran nao ni waarabu?

Just think be 4 u post!!
 
Huna lolote wewe kwa hiyo yemen sio waarabu? India na iran hazipo asia?

Uwe unawadanganya wadogo zako nyumbani
The following countries are considered to be located in the Far East: China, Hong Kong,Macau, Japan, North Korea, South Korea,Mongolia, Siberia, Taiwan, Brunei, Cambodia,East Timor, Malaysia, Laos, Indonesia,Myanmar, Singapore, Philippines, Thailand, and Vietnam.

Ktk hizo nchi ushasikia wamepata kipindu-pindu?

India ikwapi hapo? Au hujui maana ya Far east!!

Iran nao ni waarabu?

Just think be 4 u post!!
 
Back
Top Bottom