Nairobi alongside Joburg, Dubai, Casablanca, Cairo and Lagos...you see?....numbers dont lie...kila uchao huwa tunawaambia wenzetu bongolala kutoka kusini kuwa Nai sio mji wa mchezo mchezo tu ila huwa hawatuamini...huwa wanazani ni arrogance tu ya wakenya.....ama sijui ni wivu au? hivi sielewi