CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,950
- 9,509
Acha ujinga nimetoa taarifa kama haukuhusu pita kama huoni. Haihitaji kukodisha gari kila mtu siku ya kwenda analipa nauli yake watu wanasepa.
Si arange safari kwa sababu najua maneno ya Wabongo kama wewe hapi na hamchelewi kusema natafuta pesa.
Will check you!! I'm really interested
Exhibition ambayo sio ya kukosa kabisaWill check you!! I'm really interested
Mkuu hizo tarehe ni nzuri sana kwa sisi vibarua ambao tunapanga kwenda kwenye ujasiriamaliMkuu Mungu ajalie uzima ila nami nitajiunga nanyi kwenda.
Ila Mkuu ikiwezekana kati ya tarehe 6 au 7 itakuwa rahisi sana kwa waajiriwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
NimekuPM tuwasiliane zaidi
Asante sana
Sio kubwa sana hiyo. ya Nairobi ni makubwa sana na yanachkua Nchi nyingiWakuu kuna nyingine inaitwa mombasa international show kuanzia 30 agosti - 3 septemba kiingilio kshs 300.
Sijajua full package yake ikoje ila mombasa kwa wanaoishi dsm ni karibu sana.
Tujadiliane
Sent using Jamii Forums mobile app