Nairobi Gurbernatorial Race....

Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,091
2,511
May-23-17-Its-a-2-Horse-race-a-2-legged-Donkey-and-a-Goat-1024x724.png
 
Hehehe! Huyu Gado au Godfrey Mwampembwa asije akajichanganya na kuchora mapicha kama haya kwao akiwa huko, awaulize akina Mkatoliki au Nay wa Mitego kilichowakuta.

Hapa naona farasi Sonko ana kila sababu za kushinda, ila naona Kidero pia amejiandaa kututafuna miaka mitano zaidi.
 
haha!!! yaani mpaka ameweka majina direct...who said Kenya does not have media freedom? jamaa angefanya hivi kule kwingine, angekuwa korokoroni sasa hivi.
 
Kipanya anaweka majina na hajawahi kufanywa chochote.. na hivi ni vikaragosi huwezi kumshtaki mtu. Usipende kudandia treni kwa mbele.. utaigonga.
 
umesahau yaliyojiri wakati nay wa mitego alipoimba kuhusu rais nini kilicho tendeka? umesahau kuhusu mkurugenzi wa JF?
 
Walivunja sheria kaka.. unaweza kufikisha ujumbe wako bila kutukana. Jamaa wa JF zile figisu za kawaida sana hata Kenyatta angezifanya.. usijifanye kuwa Kenya imefanikiwa kidemokrasia na uhuru wa habari wakati kila siku mnatwangana shaba.

Na hizi nchi zetu uhuru wa habari unatumiwa vibaya.. wanasiasa wanatumia vyombo vya habari kuchafuana.. ni magazeti machache sana ambayo yapo neutral
 
Uhuru wa kuongea haumaanishi ndio umtukane Rais, hata ukimtukana mjomba wako lazima atakufunza adabu tu.
 
Hehehe! Huyu Gado au Godfrey Mwampembwa asije akajichanganya na kuchora mapicha kama haya kwao akiwa huko, awaulize akina Mkatoliki au Nay wa Mitego kilichowakuta.

Hapa naona farasi Sonko ana kila sababu za kushinda, ila naona Kidero pia amejiandaa kututafuna miaka mitano zaidi.

Jacob Juma naye alipatwa na nini? Acha unaa wewe.
 
Walivunja sheria kaka.. unaweza kufikisha ujumbe wako bila kutukana. Jamaa wa JF zile figisu za kawaida sana hata Kenyatta angezifanya.. usijifanye kuwa Kenya imefanikiwa kidemokrasia na uhuru wa habari wakati kila siku mnatwangana shaba.

Na hizi nchi zetu uhuru wa habari unatumiwa vibaya.. wanasiasa wanatumia vyombo vya habari kuchafuana.. ni magazeti machache sana ambayo yapo neutral
Sasa ile wimbo ilikuwa ni ya kumake fun of the govt. In a real democracy one should not be victimized for that. Ni sheria gani Mitego na sijui yule mwingine anaitwa Roman Mkatoliki walivunja kuimba tu zile wimbo za kukadhifu uovu wanazopercieve zinafanyika ndani ya seeikali? Maxence Melo alokuwa detained juu alikataa kuwatambulisha wanaJF wanaongelea vibaya serikali kwenye huu jukwaa.

Kwenye mazingira haya ya repression, mtu kama Gado hangeweza kuendeleza such hard- hitting messages huwa anadepict kwenye michoro yake. Tanzania career yake ingemalizwa kitambo sana.

Kubalini tu huu ukwelj ya kwamba serikali....hasa ya huyu iko sensitive balaa to criticism.
Ati mpaka hili tu mtu kafungiwa?

Untitled-1-6-524x350.jpg
 
Sasa ile wimbo ilikuwa ni ya kumake fun of the govt. In a real democracy one should not be victimized for that. Ni sheria gani Mitego na sijui yule mwingine anaitwa Roman Mkatoliki walivunja kuimba tu zile wimbo za kukadhifu uovu wanazopercieve zinafanyika ndani ya seeikali? Maxence Melo alokuwa detained juu alikataa kuwatambulisha wanaJF wanaongelea vibaya serikali kwenye huu jukwaa.

Kwenye mazingira haya ya repression, mtu kama Gado hangeweza kuendeleza such hard- hitting messages huwa anadepict kwenye michoro yake. Tanzania career yake ingemalizwa kitambo sana.

Unamjua Masudi Kipanya? Katuni zake zote zinamponda JPM na haguswi na mtu. Hamna hata chombo cha habari kimoja kilichowahi kufungiwa kwa kumkosoa Rais. Kinachokatazwa ni matusi.
 
Simjui, ngoja nimtafute. Lakn kama Mkatoliki na Mitego na bw. Melo wanaweza kufungiwa juu ya kutekeleza haki zao za kutoa maoni kuponda serikali.....in fact kama si Melo wanaJf wengi hawangekua humu, wakishinda kupondaponda sera za CCM.

Ninahisi kauli za huyo Masudi Kipanya are not at all as strong as hizi za Gado.
 
Unamjua Masudi Kipanya? Katuni zake zote zinamponda JPM na haguswi na mtu. Hamna hata chombo cha habari kimoja kilichowahi kufungiwa kwa kumkosoa Rais. Kinachokatazwa ni matusi.

uongo mbona za GADO tunapachika hapa. ebu leta mojawapo carton ya kipanya na jina lake pombe magufuli. atafinywa sehemu nyeti na kutokomea kutoka uso wa dunia!!! mwambia adhubutu tuone!!!
upload_2017-5-24_21-52-24.png

upload_2017-5-24_21-56-44.png
 
Unamjua Masudi Kipanya? Katuni zake zote zinamponda JPM na haguswi na mtu. Hamna hata chombo cha habari kimoja kilichowahi kufungiwa kwa kumkosoa Rais. Kinachokatazwa ni matusi.
Tuletee katuni moja hapa na uwache kelele. Ama unaogopa ******** akakushika na akukate sehemu nyeti??
 
Roman Mkatoliki? And who were those being targeted on Jf?

Roma hamna ushahidi na wala hana wimbo wa kuikosoa serikali kwa miaka mingi sasa, hajawahi kumkosoa wala kumtukana John Magufuli.

Watu wa JF walitakiwa kutoa ushrikiano kwa mamlaka za nchi hii na wakagoma, waliwahi pia kuwa na kesi kama hii nadhani mwaka 2007. Kuna watu wengi humu wanatukana na kuleta uzushi kinyume na sheria ya mtandao ya mwaka 2015.
 
Back
Top Bottom