Yani wewe unifundishe mm kiswahili? Yani mm kiswahili nakichezea nitakavyo najua naandika hiyo lugha kwamba co rasmi na nikitaka nabadilisha siweki neno hilo naweka lingine but will have the same meaning, Tony wacha mambo yako bhn
Siku hizi unaongea kwa uchungu Sanaπππ, wakati Dar imekazana na their failed BRT system, Nairobi commuter railway system is continuing to fly high. Our BRT will be 10000 better than Tanzanian dead system.
, wakati Dar imekazana na their failed BRT system, Nairobi commuter railway system is continuing to fly high. Our BRT will be 10000 better than Tanzanian dead system.
Hizi hasira zako zote ni juu Nairobi inajengwa BRT?πππ Naona ukifa hivi karibuni juu our BRT will be better than the failed one in your country.