Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress



Awaiting loading at Barcelona enroute to Mombasa. KR currently holding talks for the Mombasa commuter rail design with bidders who submitted designs in 2017.
 
Angalia huyu mtu!! Yani hujui kuwa hiyo category yenyu ya LDC inamaanisha vitu mingi sio kuwa tu low middle income. Mko hapo kwa LDC kwa sababu mko chini sana kwa miundo mbinu, health indicators zenu bado ziko kama burundi etc.
The Mitumbas
Uchungu!! Najua ukweli ni uchungu.
 
The Mitumbas
Ngoja sasa commuter rail ya mombasa ianze kujengwa. Kwa sahi mombasa bara bara zimepanuliwa hata hapo dar hakuna bara bara kama zile za mombasa. Yani mji wa pili Kenya iko na miundo mbinu mzuri kushinda mji kubwa ya Tanzania.
 
Ngoja sasa commuter rail ya mombasa ianze kujengwa. Kwa sahi mombasa bara bara zimepanuliwa hata hapo dar hakuna bara bara kama zile za mombasa. Yani mji wa pili Kenya iko na miundo mbinu mzuri kushinda mji kubwa ya Tanzania.
Lini mmejenga reli? Mna pesa ya kujenga reli? Ikiwa road ya km 27 tu mnaenda kukopa
 
Ni chizi tu ndio anaweza akabishana na ww kuhusu hilo jambo, Wakenya wenzio wote walishaachana na mambo ya LDC imebaki tu habari za GDP ushuzi inayonuka madeni ambapo tukimalizana nayo mtakuwa hamna cha kuongea, nchi yetu ni kubwa na tajiri kushinda yenu, kuhusu Afya na miundombinu jaribu uone, wenzako wamekimbia uzi wa best hospitals ww cjui uko dunia gani
 
HAHAHA. Ndoto za amezidi. Kuota unaishi kwa kasri ilhali unaishi kwa pango. Hii kitabu ilikuwa inaongea kuhusu watanzania. UN bado haija acha na hiyo, bado kwa UN nyinyi ni LDC kwa sababu kimasomo, kiafya, miundo mbinu bado mko chini.

Haya vipi tena mlisema april sgr inaanza kazi mbona hivi majuzi naona mmehairisha tena mpaka mwezi wa nane? Ni pesa illiisha?
 
Hebu leta taarifa inayosema tanzania ni nchi tajiri kuliko Kenya
 
Expect this.................

View attachment 1727915
Yeah hao Scania watazileta hizo bus Tanzania


 
Ona jinsi Tanzania mpya vile inakaa Europe

 
Hebu leta taarifa inayosema tanzania ni nchi tajiri kuliko Kenya
Haina haja cz tushalizungumzia hili hata wakunya wenzako wote wanaelewa na dunia nzima inaelewa kwmb Tz ni miongoni mwa nchi tajiri duniani na ni upuuzi kuilinganisha na Kenya nchi ambayo mpk leo raia wanakufa kwa njaa, so we baki na GDP ushuzi
 
Ni ngumu kutofautisha Nairobi na umaskini
 

Attachments

  • Screenshot_20210228-174514.jpg
    66.7 KB · Views: 1
  • JamiiForums-1318298463.jpg
    121.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…