Nairobi Commuter Rail Phase 1 Progress

Tanzania: Tumejenga BRT ambayo iko dar. (Wote wanashangilia) CCM hoiyee!!

Kenya: Tutajenga commuter rail ya 400 km siyo BRT ya 21km ambayo itakuwa na msongamano kama ya Tanzania!!

Tanzania: Hamwezi kamwe hata mfanye nini!!!

Kenya : Tumeanza testing ya commuter rail phase 1 (200 km) iliyo na 5 lines na tume jenga station 10 zaidi na tumekarabati stesheni 8.

Tanzania: (Mshtuko wa moyo, roho chafu na ya kichawi inaanza) Haiwezekani!!! Iweje donor country haina commuter rail , BRT yetu hata line tatu haina na haifiki hata 60 km, sgr imekwama bado porini. (Anashikwa na wazimu na kuanza kuonyesha ujinga ya kuzaliwa akitaja kibera).

Kenya: HAHAHAHAHA, Angalia huyu mjinga kwa ujinga wake. Na bado tunaongeza ingine 200 km mwaka ujao

Tanzania: (Mashetani za mababu zao zinawapanda). Wuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiii, kibera, njaa,turkana(Na matamshi mengine ya kitoto yasiyokuwa na kichwa wala mkia).

Nani mjinga hapa?
 
hiyo picha ni ya bogota siyo britain akili kidogo mdomo kubwa. Fanya utafiti kabla ya kuadika kitu. BRT yenyu imefika wapi? huku commuter rail ni 200 km phase 1 na BRT hapo dar ni km ngapi?
Huyo msee ni zuka la mwisho yani yeye huingia kw browsee alafu hu search then kitakachojitokeza tosha kwake


Usimlaumu sana mkuu, jamaa akiangalia chini ya picha pameandikwa jina flani la mji au kitu kwake ushahidi tosha..
 
We've Dar Commuter Rail since 2012
Nauli ilianza na mtu mzima Tsh.400 na mwanafunzi Tsh.100
Kwasasa mtu mzima Tsh.500 na mwanafunzi Tsh.200
 
Tena Commuter Rail yetu ina routes tatu...
From City Centre to Ubungo
From City Centre to Gongo la Mboto/Pugu
From TAZARA to Pugu
 
Leo eti imekua kila mtu anajenga kw mfumo wake..mbna sasa mlikua mnajitapa km sisi hatuna three level interchange


Ila dogo acha ushamba jamani interchange mbona zipo za aina nyingi
 
Ndio zile jointed rails, zinalia kama spana, na hii inamaana bado mpompo kwenye Diesel ages, na nilazima mfanye hivo maana sijaona kama mnatarajia kuwa na power electricity kubwa hivi karibuni, lkn pia kuwa super second hand hub in the region.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…