Naipongeza serikali kwa kutoa vifaa vya maabala mashuleni!

wynejosee

Senior Member
Jan 28, 2014
148
59
Jamani wanajamvi sio kila siku lawama tu kwa serikali yetu ya JPM, panapo pongezi ni lazima tuseme, siku za ivi karibuni serikali imesambaza vifaa vya maabara vya kila aina ikiwemo chemicals za kila aina kwa masomo ya Chemistry, Biology na Physics......
Pia hawakuyasahau baadhia ya masomo ya Geography na Mathematics..... Ki ukweli kwa hili MAGUFULI kafanya wonders!

Ndoto zangu!
Naota serikali kupunguza fungu la vifaa vya maabara.
Wauzaji wa vifaa vya maabara za shule kukosa soko.

Ushauri
Serikali iendelee kusambaza chemical at least kwa kila muhula zinapohitajika MASHULENI na kuondoa kabisa gharama za pesa ambazo wanapeleka mashuleni kwa ajili ya chemicals na vifaa!
 
Back
Top Bottom