LWENYI
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 1,784
- 2,098
Wakuu heshima mbele,
Leo nilikua natafakari serikali zetu mbili
- Ya JK na ile ya
- JPM
Na benchmark ilikua ni kivuko cha waenda kwa miguu pale Buguruni ambacho kimeanza kujengwa mara tu baada ya Rais Pombe kuingia madarakani.
Kwa kweli naona tofauti kubwa sana ya kiuwajibikaji katika utekelezaji wa miradi (rejea jengo la Muhimbili ambalo halijaisha kwa zaidi ya miongo mi3) kile kivuko kipo katika hatua za mwisho kabisa...... Ingekua enzi za awamu ya 4 leo upembuzi yakinifu ungekua bado unaendelea.
Kama tukienda kwa speed hii kwenye miradi yote ya serikali basi miaka mitano tutakua tayari tunajua muelekeo wa Taifa kiuchumi.
Ni maoni tu..!