Naipenda hii "BAD LIP READING"

Naipenda hii "BAD LIP READING"

dramaqueen1

Senior Member
Joined
Apr 23, 2018
Posts
115
Reaction score
111
Napenda video zake zinafurahisha. Ni actual original videos Ila maneno sio original yaliyozungumzwa kwenye tukio. ni sauti na maneno ambayo yanapandikizwa kwa kuangalia matendo na midomo ya mzungumzaji kisha wanareplace neno original na neno lingine linaloendana na tendo na midomo inavyoenda.

Cheki hizi za
-Mahojiano ya Zuckerberg na baraza LA congress baada ya fb kuvujisha taarifa za watumiaji.
- Nyingine hii ni siku ya kuapishwa kwa Trump
-Na nyingine ni ya Royal wedding.View attachment 993409View attachment videoplayback-3.mp4View attachment 993410

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda video zake zinafurahisha. Ni actual original videos Ila maneno sio original yaliyozungumzwa kwenye tukio. ni sauti na maneno ambayo yanapandikizwa kwa kuangalia matendo na midomo ya mzungumzaji kisha wanareplace neno original na neno lingine linaloendana na tendo na midomo inavyoenda.

Cheki hizi za
-Mahojiano ya Zuckerberg na baraza LA congress baada ya fb kuvujisha taarifa za watumiaji.
- Nyingine hii ni siku ya kuapishwa kwa Trump
-Na nyingine ni ya Royal wedding.View attachment 993409View attachment 993411View attachment 993410

Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk zote trump is master wa hayo madude

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom