"Naipasha Moto"

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
3,811
Reaction score
1,607
Siku ya arusi, wanandoa walijifungia ndani katika ghorofa ya juu na kuanza jigy jigy mfuflulizo kuanzia usiku mpaka asubuhi, wakaendelea mpaka jioni, usiku ukaingia wakaendelea mpaka asubuhi. Ndipo bwana arusi ulipokumbuka hawakuwa wamekula chochote kwa zaidi ya masaa 36. Akamtaka mke wake akatayarishe chai wanywe, waje waendelee.

Mke akashuka chini kuliko na jiko huku mume akimsubiri kwa hamu. Robo saa, nusu saa ikapita bibi harudi. Alipokwenda kuangalia kulikoni, akamuona anajiburuza kutoka juu ya ngazi hadi chini, akifika chini anarudi tena juu na kujiburuza tena hadi chini.

"Hiyo chai iko wapi? Na ndio unafanya nini hivyo? Mume akauliza.

"Ninaipasha moto mume wangu," mke akajibu.
 
Sijaelewa, sijui bado mdogo?
Pengine bado umdogo.
Aliposema "anaipasha moto, hakukusudia kupasha moto chai bali kuipasha moto K (kwa kujibiuruza juu ya mlingoti wa ngazi) ili wakaendelee na kazi.
 
haiiiii hii ni ya wa kubwa eeeh haaaahahahah errrr haiiiiiii
 
mbona hakuna kauli ya mume inayocontradict mpaka bibie apotee?
 
MI sijaelewa hilo tangazo la masonic rings, ina maana ndo wadhamini ama vipi??
 
Pengine bado umdogo.
Aliposema "anaipasha moto, hakukusudia kupasha moto chai bali kuipasha moto K (kwa kujibiuruza juu ya mlingoti wa ngazi) ili wakaendelee na kazi.
khaaaaaaa...sikuwa nimeipata ii...
 
MI sijaelewa hilo tangazo la masonic rings, ina maana ndo wadhamini ama vipi??

Hizo ni google adsense. Zina sense stori zinapostiwa humu, ndo zinaleta kitu ambacho kinazungumziwa. Teknohama.
Ni sahihi kusema google adsense ni mdhamini. Analeta tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…