Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Kazi yake ilikuwa kuiondoa CCM na ujinga wake.Sikio la kufa halisikii dawa. Chadema kwisha kazi yake.
Kazi yake ilikuwa kuiondoa CCM na ujinga wake.Sikio la kufa halisikii dawa. Chadema kwisha kazi yake.
Mpaka sasa imeshindwa hiyo kazi.Kazi yake ilikuwa kuiondoa CCM na ujinga wake.
Wananunuliwa au wanajitambua? Mlikuja kanda ya ziwa tukawapokea 2010 mkapata wabunge 4 mkoa wa shinyanga lakini mlivyo wabaguzi vyeo vyote mligawana mnavyojua. Safari hii hata mkoa wa Mara wameshtuka mtashangaa.Kina Heche bulaya na matiko wanajiandaa kusepa.Tatizo ni njaa na uvivu wako kufikiri.Ila TATIZO KUBWA ZAIDI NI KWAMBA CCM WANANUA UJINGA KM HUU KIRAHISI. CCM KILA KINACHOWASIFIA NA KUCHAFUA KIBOKO YAO HATA KIKIWA MAVI WANANUNUA.
Kijiwe cha Lumumba ndio hawataki kuiona CHADEMA lakini wamechelewa,CHADEMA mwendo mdundo mpaka ikulu kuwatimua wavamizi.
Na wewe nani anakuonea huruma kwa kuhifadhi uchafu kichwani badala ya akiliAman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na majukumu ya hapa na pale
Sisi wote ni watanganyika na nchi yetu ni moja kwahiyo bas ni jukumu letu sote kuunda nchi saf yenye uchumi safi, elimu safi na siasa safi, uchumi na elimu zote kwa pamoja sasa zinaundwa vizur sana na huyu mzee wa kolomije
Lakin kwwnye siasa nawaonea huruma sana hawa mateja wa chadema waliolewa sifa zisizo na kichwa wala miguu hawana agenda zaid ya kutafuta huruma kwa wananchi, wananchi nao kwa sasa wamewachoka hawawataki tena hata huku vijiwen masela hawataki tena kuisikia chadema au kumuona kiumbe yeyeto yule anayeishabikia chadomo
Chadema ni imesha kabisa huku kitaa yaan imekufaa na imeoza
Nawaonea huruma sana 2020 mtakuja kuwambja nini wananchi kwwnye majimbo yenu hata hamuonekan wote mumehamia dar
Pole sana wenje maaana naona unahali mbaya sana kiuchumi nasikia unataka kurud ccm
Chadema nawaonea huruma sana kwa siasa mnazofanya zakurukia na kudandia matukio yasiyo wahusu
Chadomo imekufa kwaher chadomo
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya wenje yanasikitisha sana sema tu hujuiWewe huna hoja zenye logic,unamuoneaje wenje huruma?Hivi hali yako ya kimaisha inafanana na Wenje?Pia kwanini uongelee mambo binafsi ya mtu? Sasa nakueleze hivi,anza sasa kuionea huruma familia yako na ukoo kwa ujumla maana elimu ni ya kukariri,uchumi pia hali ni tete.Kuhusu chadema:Kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi ionea huruma chadema maana haitii huruma ktk mikakati yake.
Kati ya cdm na ccm wapi kuna ujinga mwingiKazi yake ilikuwa kuiondoa CCM na ujinga wake.
Hao watu ni wabaguz sana hapa mwanza tuliwapokea vizur sana tukijua ni wenzetu kumbe ni fisiWananunuliwa au wanajitambua? Mlikuja kanda ya ziwa tukawapokea 2010 mkapata wabunge 4 mkoa wa shinyanga lakini mlivyo wabaguzi vyeo vyote mligawana mnavyojua. Safari hii hata mkoa wa Mara wameshtuka mtashangaa.Kina Heche bulaya na matiko wanajiandaa kusepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yangu unayajua mkuu au wewe ulivyo masikin unazan kila mtu ni maskin kama weweMbona na Chadema inakuonea HURUMA? Ulitegemea Chini ya CCM ungekuwa tajiri lakini umakini Mtindo mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani nataka kujua tu. Je, wewe uliyeandika huu uzi ni Mwanamke au mwanaume!? Kama wewe ni malikia wa nguvu hongera sana.!Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na majukumu ya hapa na pale
Sisi wote ni watanganyika na nchi yetu ni moja kwahiyo bas ni jukumu letu sote kuunda nchi saf yenye uchumi safi, elimu safi na siasa safi, uchumi na elimu zote kwa pamoja sasa zinaundwa vizur sana na huyu mzee wa kolomije
Lakin kwwnye siasa nawaonea huruma sana hawa mateja wa chadema waliolewa sifa zisizo na kichwa wala miguu hawana agenda zaid ya kutafuta huruma kwa wananchi, wananchi nao kwa sasa wamewachoka hawawataki tena hata huku vijiwen masela hawataki tena kuisikia chadema au kumuona kiumbe yeyeto yule anayeishabikia chadomo
Chadema ni imesha kabisa huku kitaa yaan imekufaa na imeoza
Nawaonea huruma sana 2020 mtakuja kuwambja nini wananchi kwwnye majimbo yenu hata hamuonekan wote mumehamia dar
Pole sana wenje maaana naona unahali mbaya sana kiuchumi nasikia unataka kurud ccm
Chadema nawaonea huruma sana kwa siasa mnazofanya zakurukia na kudandia matukio yasiyo wahusu
Chadomo imekufa kwaher chadomo
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida ya uelewa: NARUDIA KAZI YA CHADEMA NI KUONDOA CCM NA UJINGA WAKE. km unaona mdogo ni wewe. Kma ndio unachokiri kuwa kazi ya CHADEMA imekwisha , utakuwa unakiri CCM imeshatoa ukidhani ni chadema.Kati ya cdm na ccm wapi kuna ujinga mwingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo moja, pili wasisahau kuwa tunasubili Noah zetu. Maana hatuambiwi kama wanaume wameshatulipa fedha zetu au bado.Semeni yote ila mkumbuke Bombardier ipo kitanzini
Huu unaitwa mkutano wa kugawana rasilimali za Tanzania kati ya "wanaume" na "wanawake".Hilo moja, pili wasisahau kuwa tunasubili Noah zetu. Maana hatuambiwi kama wanaume wameshatulipa fedha zetu au bado.
Haya majadiliano na "wanaume" yatakuwa marefu kama ule mkutano wa Berlin (1884 hadi 1885) miezi minne.
Sent using Jamii Forums mobile app