Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,013
- 42,265
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa wa mungu
Polen na majukumu ya hapa na pale
Sisi wote ni watanganyika na nchi yetu ni moja kwahiyo bas ni jukumu letu sote kuunda nchi saf yenye uchumi safi, elimu safi na siasa safi, uchumi na elimu zote kwa pamoja sasa zinaundwa vizur sana na huyu mzee wa kolomije
Lakin kwwnye siasa nawaonea huruma sana hawa mateja wa chadema waliolewa sifa zisizo na kichwa wala miguu hawana agenda zaid ya kutafuta huruma kwa wananchi, wananchi nao kwa sasa wamewachoka hawawataki tena hata huku vijiwen masela hawataki tena kuisikia chadema au kumuona kiumbe yeyeto yule anayeishabikia chadomo
Chadema ni imesha kabisa huku kitaa yaan imekufaa na imeoza
Nawaonea huruma sana 2020 mtakuja kuwambja nini wananchi kwwnye majimbo yenu hata hamuonekan wote mumehamia dar
Pole sana wenje maaana naona unahali mbaya sana kiuchumi nasikia unataka kurud ccm
Chadema nawaonea huruma sana kwa siasa mnazofanya zakurukia na kudandia matukio yasiyo wahusu
Chadomo imekufa kwaher chadomo
LONDON BABY
Sent using Jamii Forums mobile app