0ozg Tz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 4,159
- 11,100
Madrid wanaujuz ni balaa,afu zidane anajua namna ya kuzkamata timu,waache kabsa Madrid mbele ya kombe hawanaga mzaa,sasa Liverpool anafungwa na man u kwa Madrid atapgwa kama mbwaKua nyepesi eeeh,Liverpool ndie anachukua hili kombe hakuna cha madrid wala nini.