Naiona CHADEMA ikifutika katika ramani ya siasa za TZ

Siasa za tanzania upinzani wana NAFASI YA kufanya vizuri Sana japo kushinda kwao ni vigumu Lakini watajitengenezea NAFASI nzuri zaid endapo wataendelea kuwa WAMOJA yaani wakabaki na umoja Wao.. Kwa siasa za Africa zilivyofika nadhani hivi vyama vya ukombozi kama CCM wako Hali mbaya wananchi wameamka watakataa tu hasa kundi kubwa LA vijana wakijitokeza.. Kiufupi CCM wamebaki na ushawishi Kwa watu waliozaliwa nyuma ya miaka ya 1980.. Vijana wengi hasa wasomi ndio chachu ya mabadiliko.. Mtoa Maada nadhani HAUPO SAWA Kwa mtizamo wangu chadema bado wana mvuto Sana tusubiri 2020.. Ila Kwa Hali iliyopo ni ngumu CCM kukubali chadema washinde. Tumeshuhudia chaguzi za meya na ule WA zenji
[HASHTAG]#justice[/HASHTAG] for lema #
[HASHTAG]#free[/HASHTAG] our max #
[HASHTAG]#bring[/HASHTAG] back our ben#
Ccm hawajui kuwa kizazi cha wafuasi wao ni kinaenda kukatika,wazee watarajiwa na vijana wajao ni upinzani
 
Kwa Mapungufu mengi yaliyowazi kwenye serikali hii ilibidi Chadema waonyesha uwepo wao kama chama kikuu cha upinzani nchini.

Hawana hoja za msingi dhidi ya serikali hii, wanahoji vitu vyepesi ambavyo havilisaidii taifa zaidi ya kutafuta umaarufu wa mda mfupi.

Hii serikali mpaka sasa umezidisha matumizi kwenye ununuzi wa ndege tofauti na iliyosomwa bungeni.....lakini huwezi kumsikia kiongozi wa kambi upinzani bungeni akihoji hilo......

Ile Chadema iliyokuwa inasikika kwenye siasa za kimataifa haipo tena.

Leo kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwanasheria wa chama wanaenda Uingereza kupiga picha nje ya Bunge la Uingereza na kuturushia wananchi halafu wanaandika " wakiwa ndani ya Bunge la Uingereza"

Lile kosa la kuchukua kinyesi chooni na kukileta Chumbani litatutafuna mpaka dakika ya mwisho.
 
Iko dhahiri kabisa hivi sasa kwamba chama chetu hiki kilichowika sana miaka miwili mitatu iliyopita, tena wiko la mazuri kwa mabaya kinaenda kufutika katika siasa za Tanzania kama andiko la penseli.

Nasema haya kwa misingi ya ukweli uwazi na uhuru wa mawazo kwamba ubabe udikteta na upyupyu uliokuwa unafanywa na viongozi wa chama hiki ndio umekuwa kaburi lake rasmi. Tulishuhudia Lowassa akipewa zawadi ya kugombea urais kupitia taasisi hiyo nyeti ya mtu binafsi, kama haitoshi wakawapokea na makapi mengine kibao yaliyokosa mvuto kwenye siasa za ushawishi hapa nchini.

Leo hii hatumuoni wala kumsikia tena Dr wa ukweli, Slaa ambaye alifanya siasa za hoja. Leo hii hatumuoni tena Zitto Kabwe kijana machachari kwenye jukwaa na kwenye hoja. Wamepotea wote waliokuwa ndio msingi wa chama chetu, leo kimekuwa kichaka cha kufika mafisadi na majizi. Ee Mungu wee tuliipenda sana CHADEMA lakini wewe umeipenda zaidi.

Yuko wapi mtembea na sumu mfukoni Ben wa saa Nane???
Wangekuwa wanafutika usingesema ila kwakuwa na nafsiyako inatambua ni chama imara unajifariji uone mawazo ya wengine.Waambie Lumumba wakuongezee mtaji
 
Iko dhahiri kabisa hivi sasa kwamba chama chetu hiki kilichowika sana miaka miwili mitatu iliyopita, tena wiko la mazuri kwa mabaya kinaenda kufutika katika siasa za Tanzania kama andiko la penseli.

Nasema haya kwa misingi ya ukweli uwazi na uhuru wa mawazo kwamba ubabe udikteta na upyupyu uliokuwa unafanywa na viongozi wa chama hiki ndio umekuwa kaburi lake rasmi. Tulishuhudia Lowassa akipewa zawadi ya kugombea urais kupitia taasisi hiyo nyeti ya mtu binafsi, kama haitoshi wakawapokea na makapi mengine kibao yaliyokosa mvuto kwenye siasa za ushawishi hapa nchini.

Leo hii hatumuoni wala kumsikia tena Dr wa ukweli, Slaa ambaye alifanya siasa za hoja. Leo hii hatumuoni tena Zitto Kabwe kijana machachari kwenye jukwaa na kwenye hoja. Wamepotea wote waliokuwa ndio msingi wa chama chetu, leo kimekuwa kichaka cha kufika mafisadi na majizi. Ee Mungu wee tuliipenda sana CHADEMA lakini wewe umeipenda zaidi.

Yuko wapi mtembea na sumu mfukoni Ben wa saa Nane???

Back 2010 hatukuwa na watoto kama ninyi mnaleta mada zenye kiwango duni kama hiki. Nashauri kama ni uCCM basi hudhuria tu vikao halafu washirikishe wenzako. CHADEMA ni chama kinachoongozwa na watu wenye uelewa kuliko wewe kwa hiyo usitegemee chama kife kwa sala zako. Wengi walimuombea kifo mzee Lowasa lakini wametangulia mbele ya haki na yeye bado yupo.
 
Naiona Tanzania ikiendelea kua maskini na pamoja na kua raslimali nyingi chini ya utawala wa ccm..Ehh Mungu tuepushe na utawala huu husio na manufaa kwa watanzania. ..CCM means poverty,diseases and ignorance...Tusikie maombi yetu Muumba wa nchi na vyote ..Amen
 
Tanzania bado ipo. Sasa, wale uliowataja (Slaa na Zitto) kwani wamezuiwa kufanya siasa? Au ni lazima wawe CHADEMA? Hao unaowataja kuwa hawana mvuto kisiasa ndiyo wanaoogopwa katika medani za siasa za Tanzania. Hebu jenga upya hoja zako vema ueleweke mleta uzi.
 
Iko dhahiri kabisa hivi sasa kwamba chama chetu hiki kilichowika sana miaka miwili mitatu iliyopita, tena wiko la mazuri kwa mabaya kinaenda kufutika katika siasa za Tanzania kama andiko la penseli.

Nasema haya kwa misingi ya ukweli uwazi na uhuru wa mawazo kwamba ubabe udikteta na upyupyu uliokuwa unafanywa na viongozi wa chama hiki ndio umekuwa kaburi lake rasmi. Tulishuhudia Lowassa akipewa zawadi ya kugombea urais kupitia taasisi hiyo nyeti ya mtu binafsi, kama haitoshi wakawapokea na makapi mengine kibao yaliyokosa mvuto kwenye siasa za ushawishi hapa nchini.

Leo hii hatumuoni wala kumsikia tena Dr wa ukweli, Slaa ambaye alifanya siasa za hoja. Leo hii hatumuoni tena Zitto Kabwe kijana machachari kwenye jukwaa na kwenye hoja. Wamepotea wote waliokuwa ndio msingi wa chama chetu, leo kimekuwa kichaka cha kufika mafisadi na majizi. Ee Mungu wee tuliipenda sana CHADEMA lakini wewe umeipenda zaidi.

Yuko wapi mtembea na sumu mfukoni Ben wa saa Nane???
ccm itatangulia kufa na kuzikwa
 
Operation sangara,m4c,ukuta,ukawa hadi kata funua,
Kazi wanayo,sasa hivi wamekata na kujifunua wenyewe,bado kujifukia tu
 
Iko dhahiri kabisa hivi sasa kwamba chama chetu hiki kilichowika sana miaka miwili mitatu iliyopita, tena wiko la mazuri kwa mabaya kinaenda kufutika katika siasa za Tanzania kama andiko la penseli.

Nasema haya kwa misingi ya ukweli uwazi na uhuru wa mawazo kwamba ubabe udikteta na upyupyu uliokuwa unafanywa na viongozi wa chama hiki ndio umekuwa kaburi lake rasmi. Tulishuhudia Lowassa akipewa zawadi ya kugombea urais kupitia taasisi hiyo nyeti ya mtu binafsi, kama haitoshi wakawapokea na makapi mengine kibao yaliyokosa mvuto kwenye siasa za ushawishi hapa nchini.

Leo hii hatumuoni wala kumsikia tena Dr wa ukweli, Slaa ambaye alifanya siasa za hoja. Leo hii hatumuoni tena Zitto Kabwe kijana machachari kwenye jukwaa na kwenye hoja. Wamepotea wote waliokuwa ndio msingi wa chama chetu, leo kimekuwa kichaka cha kufika mafisadi na majizi. Ee Mungu wee tuliipenda sana CHADEMA lakini wewe umeipenda zaidi.

Yuko wapi mtembea na sumu mfukoni Ben wa saa Nane???
Wako Ben Saanane 1000000 kwa sababu ya kumtenda Ben OG
 
Back
Top Bottom