Naiona CCM ikishinda tena 2015


kushinda kwao ni kugumu kwa kuwa safu yote ya viongozi ndani ya chama chao hakuna mgombea makini na anayekubalika kwa wananchi wote. vilevile mikakati ya kuivurugaCDM imegundulika mapema, hivyo CDM wana nafasi ya kujipanga na kuchukua nchi 2015.
 
Chadema ni chama cha ukoo na kitafia mikononi mwa wanaukoo tukubali au tukatae ukweli utatuhukumu.

Unaota au upo kwenye wet dream??
Maana ulichoandika hata ukifikiria kwa jina
la meya wa dashlaam bado hutoandika
ivo.
 
Tutaona kama magamba mtashinda endeleen kumfariji marehemu!!
 

Ndani ya Maneno yako.."Sio wote wanao tapa tapa Wanazama" :shut-mouth:Mrs Zitto
 
CDM wapo ICU wanapumulia machine sasa, watasambaratishwa kama ilivyokuwa NCCR mageuzi kipindi kile mda si mrefu, ni jambo la kusubiri na kuona ahahha (ni utani lakini una ukweli ndani yake)
Huko ICU wameenda lini wakati ni jana tu tuna sikia watoto wa Wasira wanajiunga cdm.Kwa mwenye akili ange subiri uchaguzi wowote labda wa madiwani ndiyo uto conclusion
 
Hii ni sawa na kumwambia mgonjwa wa UKIMWI aliyegoma kutumia ARVs kwamba utapona tuu Mungu yupo!!!!!!!!!!!!!.CCM hata ICU hampo mko MOCHWARI mkisubiri mazishi yenu 2015.
 
utakuwa umeiona ikiiba kura, pole kwa kuona mambo ya ajabu wakati nuru inaangaza kutoka CDM
 
Magamba hebu tulieni dawa iwaingie vizuri. Kwasababu chadema ni msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…