Naiombea Iran Himiliki Silaha Za Nyuklia

Naiombea Iran Himiliki Silaha Za Nyuklia

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
826
Kuna wakati ukifika tunaweza kusema kama mbwai na iwe mbwai

Wahenga walisema dawa ya moto ni moto
Maadui zake wakuu wanamiliki silaha hizo, Marekani na Israeli Mtoa roho


Iran popote pale ulipo nakusihi upo wakati wa maangamizo 'maadui zako wamekuzingira kila pande"

Kinachoweza kukusaidia ni kumiliki tu silaha za nyuklia hakuna njia nyingine

Kumbuka yaliyomtokea Japan

Hawa jamaa hawanaga huruma
 
Maombi ya kutekeza silaha za nyuklia kwa mataifa yenye nazo ndio sahihi zaidi.

Kumbuka siku zikitumika hizo silaha hawataumia Iran tuu bali hata mimi na wewe.
 
Maombi ya kutekeza silaha za nyuklia kwa mataifa yenye nazo ndio sahihi zaidi.

Kumbuka siku zikitumika hizo silaha hawataumia Iran tuu bali hata mimi na wewe.
Unafikiri katika hali ya kawaida hilo linawezekana

Wao wanazidi kuziboresha na kuzifanya kuwa za kisasa zaidi na kumbuk wakati huo wana mpango wa kuziweka angani

Kama kufa wangapi wamekufa potelea mbali

Hilo ndilo chaguo sahihi kwa Iran
 
Kauzi ka kujifarijia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Japo umekosea kuandika ila kwetu sisi wa lran wa bongo ombi tutalifanyia kazi , na kwa upande wa wa Iran wa Tehran kwa Ayturah mwenyewe badili lugha andika kwa Kiajemi.
 
Kuna wakati ukifika tunaweza kusema kama mbwai na iwe mbwai

Wahenga walisema dawa ya moto ni moto
Maadui zake wakuu wanamiliki silaha hizo, Marekani na Israeli Mtoa roho


Iran popote pale ulipo nakusihi upo wakati wa maangamizo 'maadui zako wamekuzingira kila pande"

Kinachoweza kukusaidia ni kumiliki tu silaha za nyuklia hakuna njia nyingine

Kumbuka yaliyomtokea Japan

Hawa jamaa hawanaga huruma
Kuandika kwenyewe tatizo unawaza mabomu ya nuke....[emoji57][emoji57][emoji57]
 

  • Iran yasema itazidisha urutubishaji wa uranium kupita kiwango kilichowekwa

    Rais Hassan Rouhani wa Iran, amesema nchi yake itaongeza kiwango chake cha urutubishaji madini ya uranium baada ya Julai 7, hadi kiwango chochote kupita kiwango kilichowekwa cha asilimia 3.67 kwenye mkataba wake kuhusu nyuklia uliosainiwa mwaka 2015. Shirika la habari la IRIB nchini humo, limeripoti kwamba Rouhani, ametishia kuwa endapo mataifa yaliyosaini mkataba huo hayatatimiza ahadi zao, basi kinu cha nyuklia cha Arak kitarejelea shughuli zake baada ya tarehe 7 Julai. Kiwango cha asilimia 3.67 ya urutubishaji kinakubalika kutumiwa katika shughuli nyinginezo za kibinadamu ikiwemo kuzalisha nishati na utafiti wa kimatibabu, lakini hakiwezi kutengeneza mabomu. Katika mkutano wake na baraza la mawaziri leo, Rouhani amesema kwanzia Julai 7 wataanza kupitiliza kiwango hicho cha asilimia 3.67. Wataalamu wanasema ili madini ya uranium ifikie kiwango cha kugeuzwa silaha, ni lazima irutubishwe kwa asilimia 90.

Source'BBC
 
Ili kutusaidia wote wenye shida,wachumia tumbo,wafia dini,wanasiasa uchwara,na viongozi madikteta.BORA HIZO NYUKLIA ZILIPULIWE WOTE TUKAPUMZIKE.
 
Back
Top Bottom