Huo mradi JPM aliuelezea kinaga ubaga, hajaupiga chini Kwa zengwe ulikuwa ni wa kinyonyaji mno, shart moja wapo la mwekezaji ilikuwa ni kushut down bandari zote za mwambao wa bahari, only bagamoyo port Tu operate, kichekesho ilikuwa percent ya mwekezaji Yale Yale ya kwenye madini.angeanza mradi wa andari ya bagamoyo Jiwe asingufuta
Kwa hiyo Wachina nao ni kama tu wale wanyonyaji mabeberu wa Magharibi, au sio?Huo mradi JPM aliuelezea kinaga ubaga , hajaupiga chini Kwa zengwe ulikuwa ni wa kinyonyaji mno , shart moja wapo la mwekezaji ilikuwa ni kushut down bandari zote za mwambao wa bahari , only bagamoyo port Tu operate , kichekesho ilikuwa percent ya mwekezaji Yale Yale ya kwenye madini ....
Hayo aliyoyaeleza unayaamini vipi? inamaana watu woote waliofanya fisibility study hawakuyaona isipokuwa yeye peke yake?? kwan si alikuwa Waziri wa Ujenzi alishindwaje kushauri ipasavyo??Huo mradi JPM aliuelezea kinaga ubaga , hajaupiga chini Kwa zengwe ulikuwa ni wa kinyonyaji mno , shart moja wapo la mwekezaji ilikuwa ni kushut down bandari zote za mwambao wa bahari , only bagamoyo port Tu operate , kichekesho ilikuwa percent ya mwekezaji Yale Yale ya kwenye madini ....
mrithi!? kalagabaho...ndio maana alisema Mradi wa Stiglaj goji uanze kabla mrithi wake hajaja asije akaukataa
We umeuona huo mkataba?Huo mradi JPM aliuelezea kinaga ubaga , hajaupiga chini Kwa zengwe ulikuwa ni wa kinyonyaji mno , shart moja wapo la mwekezaji ilikuwa ni kushut down bandari zote za mwambao wa bahari , only bagamoyo port Tu operate , kichekesho ilikuwa percent ya mwekezaji Yale Yale ya kwenye madini.
Wewe umeouona mpaka unabisha?We umeuona huo mkataba?
Jiwe ni mbinafsi na hii bandari ya Bagamoyo kaipotezea kwa kua hipo Bagamoyo tu.
Ingekua chato ujenzi ungekua unaendelea hivi.
JK anajutia sana kuhusu huu mradi kuuchelewesha.
Sasahv sikukuu twala Chato! mpaka mwakani jiwe anataka iwe kama Dubai.Bagamoyo ni mji wa kitalii ule,alafu una fukwe za kuweka hotel za kitalii,mji umetulia sana.
Miaka ya nyuma sikukuu zote tulikua tunaenda Bagamoyo kula sikukuu.
Wachina wao wanakubali ufisadi, ukiuanza wanaweka masharti yao. Msipouleta ufisadi mbona ni wazuri tuKwa hiyo Wachina nao ni kama tu wale wanyonyaji mabeberu wa Magharibi, au sio?
Kiwanja cha ndege kujengwa chato na kuanzisha safari za ndege huko sio unyonyaji?hivi nani aende chato?Huo mradi JPM aliuelezea kinaga ubaga, hajaupiga chini Kwa zengwe ulikuwa ni wa kinyonyaji mno, shart moja wapo la mwekezaji ilikuwa ni kushut down bandari zote za mwambao wa bahari, only bagamoyo port Tu operate, kichekesho ilikuwa percent ya mwekezaji Yale Yale ya kwenye madini.
Kwani kwenye madini na gas kikwete kafanya nini Kama sio kiruhusu unyonyajiHayo aliyoyaeleza unayaamini vipi? inamaana watu woote waliofanya fisibility study hawakuyaona isipokuwa yeye peke yake?? kwan si alikuwa Waziri wa Ujenzi alishindwaje kushauri ipasavyo??
huyu anataka kuacha alama zake mwenyewe ndio maana alisema Mradi wa Stiglaj goji uanze kabla mrithi wake hajaja asije akaukataa