Baba yangu mzazi baada ya kufika hospitali ya Mhimbili yapata miezi mitatu iliyopita aliambiwa kupata huduma aliyoihitaji alipaswa kutoa kiasi cha shilingi laki tisa na ishirini na saba elf(927,000/-. Wahudumu na manesi wakamtoa wodini na kutuamuru tuondoke turudi baada ya kulipa hicho kiwango. Wakati huo hakuwa na fahamu.
Tukachangishana ikafika laki 6, wakakataa hadi tulipe yote. Baada ya siku mbili pesa ilitimia. Ndipo alipopokelewa na kuanza kupata huduma.
Upuuzi huu umekuwa ukishamirishwa na serikali ya CCM. Watanzania wamekuwa watumwa ndani ya nchi yao wenyewe. Wafanyakazi wamekuwa viburi na hawana wasiwasi kwakuwa mfumo uliopo chini ya CCM unawabeba.
CCM imetufikisha mahali kuwaona wagonjwa masikini wasio,na pesa hawana maana.
Kwa CCM ukiwa mteule na unanufaika na mfumio, huduma za hata kutibiWa mafua utazipata india au marekani