salaam,
mzee wangu unamaanisha nini unapsema baada ya Sadaat kupata ushindi mkubwa kwenye uwanja wa vita? pia Misri iliwahi kutoa watu wawili watata sana ndg Ayman Zawahiri na bwana Sayyid Qutb bila shaka unawafahamu hawa
Mzee Wangu Mohammed Said kwanza shikamoo ,pili ahsante kwa kunikumbusha mji huu nami nimewahi kufika hapo 2010 na timu ya Simba niliikuta huko ,ilikua icheze na Haras al hadood ,matokeo 5 - 1
JokaKuu,
Mlamali haandiki tena aliyebakia akiandika katika ile team
iliyokuwa Africa Events ni Ahmed Rajab na Abdilatif Abdalla
wao wanaendelea kuandika.
Ahmed Rajab ana column katika Rais Mwema kila Jumatano. Abdilatif huyo hapo chini:
Mzee Wangu Mohammed Said kwanza shikamoo ,pili ahsante kwa kunikumbusha mji huu nami nimewahi kufika hapo 2010 na timu ya Simba niliikuta huko ,ilikua icheze na Haras al hadood ,matokeo 5 - 1