tunahamia dodoma
Senior Member
- Jan 23, 2017
- 119
- 81
Wakuu nimekuwa nikijiuliza maswali ambayo majibu yake kwangu mimi kuyapata imekuwa ni ngumu. Hivyo nimeona ni muhimu niwashirikishe.
Tangu Rais JPM aingie madarakani pesa imekuwa ni ngumu sana kupatikana. Na tumeshuhudia hotel zimebadilishiwa matumizi na kuwa hostel. Pia baadhi ya hotel kushusha bei ya chumba na nyingine kufungwa. Sambamba na hilo tumeshuhudia bar zilizokuwa zikihudumia wateja zaidi ya 50 kwa siku hivi sasa kiwango hicho kimeshuka na kufikia wateja chini ya 15.
Hakuna ubishi kwamba sababu kuu ya matokeo haya pa1 na nyingine lkn hasa ni kuzibwa kwa mianya ya upatikanaji wa pesa haramu. Chukulia mfano hasa pesa haranu za bandarini, posho za vikao visivyo na tija, night allowance kwa safari zisizo na tija nk
Na kwa sasa hili sakata la madawa ya kulevya. Pesa hiyo haramu ndiyo kiasi furani ilikuwa imesalia katika mzunguko. Kama udhibiti wa biashara hiyo haramu ukiwa madhubuti na kupungua kwa 80% . Kwani haiwezekani kufikia 0%. Je mkoa huu wa DSM maisha yatakuwaje?
Kwa JPM kuonyesga hiyo 1st show naona zile mbwembwe za papa mtoto ya ndama na wenziwe wa aina hiyo za kutuza wanamziki zimefutika.
Kwa mbaaaali naona wamesalia wanamziki au wasanii kwa ujumla na viongozi wa dini na hasa wa makanisa ya kiroho ndiyo wanashambulia jukwaa la matumbuzi ya pesa. Ambao nao pa1 na kwamba siyo wote, wanahusishwa na makonda forum.
Je kwa hali hii inavyoendelea hii 2nd show ya makonda kama ikishika kasi sawa sawa, matanuzi yatakuwepo hapa Dar?
Yangu macho. Lkn kikubwa naomba uzima ili nishuhudie kipyenga cha mwisho.