mchagahalisi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 619
- 360
Deleted
Hapana..FYI Gabriel Zakaria ni pro ukawa... Masauni aliboreka na aina pamoja na uulizaji maswali wa mtangazaji...kimsingi masauni aliamua kumuumbua Gabriel Zakaria ..kwa mf..gabriel alipofanya reference ya mitandao ya kijamii unakumbuka majibu yake? kudos Masauni!Leo kwenye kipindi cha Tuambie kinachoruka live kilikuwa kinamuhoji Naibu waziri wa mambo ya ndani, Katika mahojiano hayo mheshimiwa ameonyesha kushindwa kujibu kwa kujiamini baadhi ya maswali ya mtangazaji.
Acha umbea..Gabriel aliuliza Je, vikosi vya majeshi vitaendelea kusalia baada ya uchaguzi?Baadhi ya maswali yalikuwa hiv;
Mtangazaji:Mh. Kwa nini mnapeleka polisi wengi Zanzibar?
Mheahimiwa: wengi kiasi gani?we umejuaje kama ni wengi kwa sababu hatuwezi kupima kama ni wengi au wachache.
Mtangazaji; naskia Zanzibar watu wanakimbilia msituni.
Mheshimiwa: We umewaona?au unaamini habari za kwenye mitandao.