Naibu waziri wa afya apiga marufuku runinga za vituo vya afya kuonyesha mziki na tamthilia

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,083
18,177
Nchi ya viwanda hii
FB_IMG_15413413228174166.jpg
 
Ametoa mwuongozo wa vitu gani vionyeshwe? Au wang'oe kabisa hizo TV?
Na hilo agizo linahusu zahanati/hospital za umma tu au na za binafsi?

Watoe tu agizo zote ziwe zinaonyesha matangazo ya vipindi vya TBC.
Tatizo la uongozi wetu ni kuwa viongozi wanajigeuza kuwa ndiyo sheria. Vitu kama hivi vinatakiwa kufanyiwa utafiti. Hivi hajui kuwa katika watu wanaohitaji kuliwazwa ni wagonjwa? Hospital zinatakiwa kuwa sehemu ambazo watu wakienda hawatakuwa na panic au mawazo. Mradi sautu iwe chini na siyo inayokera wagonjwa. Kwa wale waliowahi kutibiwa hospital za nchi zilizoendelea nadhani wanaelewa.
 
Mambo ya Afya yanavyokua boring!! Angesema part of the time,wagonjwa wanahitaji kuona taarifa za habari na kurelax na music .. this is not good move Mwalimu
 
Somehow yuko sahihi kama atakua amesema yawekwe matangazo na vipindi vya Afya tu hasa huko vijijini
 
Siku akiugua akawekwa huko wakamuwekea hiyo miziki na tamthilia ndo atagundua alichokiongea kina hasara gani
 
Tatizo la uongozi wetu ni kuwa viongozi wanajigeuza kuwa ndiyo sheria. Vitu kama hivi vinatakiwa kufanyiwa utafiti. Hivi hajui kuwa katika watu wanaohitaji kuliwazwa ni wagonjwa? Hospital zinatakiwa kuwa sehemu ambazo watu wakienda hawatakuwa na panic au mawazo. Mradi sautu iwe chini na siyo inayokera wagonjwa. Kwa wale waliowahi kutibiwa hospital za nchi zilizoendelea nadhani wanaelewa.

Unajua hata ile kujiuliza tu, lengo la kuweka hizi TV kwenye haya maeneo ya wagonjwa ilikua ni nini?
Kama kuna tatizo au mapungufu ingefanyiwa maboresho, hata hivyo wangejikita Zaidi kwenye mambo makubwa yenye tija.
 
Mmh!?,haya matamko ya ajabu ajabu yataisha lini, hajui kuwa hvo vtu vnapunguza mastress ya hospital
 
Hongera Waziri watu wamegeuza hospital sehemu ya kuangalia tamthilia Na kusikiliza muziki unakuta kutwa watu wamejaa kwenye mabenchi wako wanaangalia TV tu Ziondolewe kabisa kuna wagonjwa hawataki kelele ziwe za tamthilia au muziki.
 
Huyu waziri ni daktari kwa profession???
Anajua positive impact ya muziki kwa wagonjwa???
Muziki aweza sikiliza kwenye simu Na Head phone. wagonjwa wengi hawapendi mikelele ya muziki.Anayetaka awashe Simu yake aweke headphone aangalie tamthilia Na kusikiliza muziki nk
 
Ametoa mwuongozo wa vitu gani vionyeshwe? Au wang'oe kabisa hizo TV?
Na hilo agizo linahusu zahanati/hospital za umma tu au na za binafsi?

Watoe tu agizo zote ziwe zinaonyesha matangazo ya vipindi vya TBC.
Vipindi vinavyoonyesha utekelezaji wa ilani ya CCM na hotuba za Magufuli
 
Back
Top Bottom