Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naomba wataalamu wa mambo ya computer watupost picha ya ile clip ya video kwenye dakika 2:30 tutapata majibu yote ya hili jambo. Ukiangalia vizuri kwa jinsi lile dirisha lilivyovutwa inaonyesha dhahiri ya kuwa lilibenjuliwa kutoka ndani. Sisi tunaongalia CSI kila siku atudanganywi kirahisi.

Unaongelea dakika 2:30 ya video hii?



malima.jpg
 
Last edited by a moderator:
jamani hata mm nilishakuwa mbenjuaji hasa wakati nikiziba matairi ya magari makubwa huyu ni yeye mwenyeweili kuua sooooooooooo akakosea akabenjua upande mmoja mbona lile dirisha halikuumia
hapa Changu kabeba mzigo bora awe anawalipa kukopo changu ni lazima atakutoka na hawatamfanya lolote
 
Tatizo la uongo ni kwamba kuna siku utakuja kujifunua na ukweli kubainika...tusubiri tu.
Pia, kwa kuwa Polisi nao wamekubali kuuficha ukweli wa tukio na kudai kuwa waliomuibia Mh N/Waziri ni vibaka tu, huyo dada anayedaiwa kuwa ndiye aliyefanya hivyo, haitaji kujificha wala kuishi kwa machale, kwani kwa mujibu wa upelelezi wa polisi, 'waliovunja' na kuiba ni vibaka!! Siku akihitajika polisi awatolee nje kwa kuwa
yeye si kibaka bali ni mjasiriamali wa mwili wake na awakatalie kuwa hakufika kabisa hotelini hapo siku ya tukio, simple!!
 
Raha imegeuka kuwa karaha! pole sana mzinzi mwenzangu!
Ningekuwa Adam nikichukua mrembo nahamishia kitanda mlangoni. hakuna mtu kutoka.
Na dirishani ungeweka nini Mkuu? Labda usafiri na kijibwa chako ikifungie dirishani kibweke, lakini napo waweza lizwa tuu. Binadamu akishaamua, kaa chonjo. Haswa ukishajizalishia maadui, jiandae.
 
AMESEMA AMEIBIWA PETE MBILI HIZI ALIZOVA AMEPATA WAPAI HIVI NA NYIE WAANDISHI MMESHINDWA KUMUULIZA SWALIRAHISI HIVI MSANII WETU WA MWAKA BAADA YA WEMA SEPETU NA VICHEKESHO VYAKE

WAZIRI+MALIMA+AKIWA+SEBULENI+-2.JPG
 
Na dirishani ungeweka nini Mkuu? Labda usafiri na kijibwa chako ikifungie dirishani kibweke, lakini napo waweza lizwa tuu. Binadamu akishaamua, kaa chonjo. Haswa ukishajizalishia maadui, jiandae.

Malima mshamba angetuuliza wataalamu wa machangu ukifika naye geto mizigo yote unakabidhi reception na nguo zake
 
aibu sana kwa taifa kuwa na viongozi wahuni kama huyu malima. Mwangalie midomo yake ?, kama tunakuwa na kiongozi wa nchi mzembe ambaye anachagua watu kama akina malima kuwa mawaziri, ndo mana tumefika hapa tulipo, aibu na inasikitisha sana!
 
Mimi sijafahamu yeye kama Naibu Waziri kutembea na bastola na SMG, achilia mbali hizo pete za Almasi, na zile hela zote taslimu. Nilitegemea angekuwa pia anatumia kadi za benki kutolea hela pale anapohitaji, lakini sipati picha ya mtu kuhitaji hela zote hizo kwa siku moja. Ni maoni tu.
 
Mh Adam Malima anatuzuga Hakuibiwa na mtu yeyote ~ Alipiga tungi na kimada alichokichukua kikatokomea na vyake, habari ndo hiyo! Pete kaibiwa kaziva, whiskey hizo alipiga na kimada mjanja akamuotea
 
Malima mshamba angetuuliza wataalamu wa machangu ukifika naye geto mizigo yote unakabidhi reception na nguo zake

Mkuu kweli wewe mtaalamu,Malima itakua michezo kaianzia ukubwani tena baada ya ubunge!au labda alijiona kwa kua yeye ni naibu waziri basi atapendwa kwa dhati,wajasiriamali hawana hizo!
 
Laptop HDD storage capacity 750 GB and above, laptop tatu za nini? True multimedia content guzzles up memory however you can store the content on external storage or cloud storage. Efficient use HDD storage is a matter categorizing your data and creating a folder for each category . Unless 'am missing something there is absolutetly no need for brandishing three laptops,it is irresponsible and a waste of scarce resource. Muheshimiwa acha isirafu.
 
Nimejifunza vifuatavyo
nikienda moro
--nisilewe sana
---niwe kadi nyingi za bank maana hela awaachi
--niwe na hela za kuhonga meneja wa hotel incase nikibiwa wakati niko sebuleni
--nikiwa na mlupo lazima nimjulishe mlinzi wa hotel nitakayofikia kwamba asimwachie atoke mpaka nitoke nae

haya ukiyafwatilia ya malima ayatakutokea tena ;big up adam kwa kutufunza
 
Mkuu kweli wewe mtaalamu,Malima itakua michezo kaianzia ukubwani tena baada ya ubunge!au labda alijiona kwa kua yeye ni naibu waziri basi atapendwa kwa dhati,wajasiriamali hawana hizo!

1800

Malima kachemka na kuevaporate kabisa, alikuwa anacheza na wajasiriamali. Kwanza hakuwa na mbinu za kumdhibiti huyo samaki wake pili ameshindwa hata kudhibiti soo. Mambo kadhaa kayaibua kwanza zero utulivu pili kwana alikuwa anaenda kukabiliana na Al shabab mpaka na siraha ya kivita? au ndo majambazi wenyewe hao mchana naibu waziri ucku ni jambazi nina kuwa na wasiwasi
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Malima ndugu yangu sio kwamba wanajamvi hatukupendi, sema maelezo yako ndio mchanganyo wa maneno yako. Waliowengi humu tayari tumeshawahi kufanyiwa U-Malima au kufumaniwa lkn huwa tunauchuna. Usimwogope JK mzee yule ni mjanja mwenzako sema tu hukumwambia ukweli angekuokoa hata kabla soo halijatifuka. Pole sana malaya mwenzetu.

Nimekukubali mzee mwenzangu, Malima cha mtoto. Ndo tatizo la watoto wa maghorofani wanakuwa sio wajanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom