Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,783
- 14,975
Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.
subirini mpigwe na kitu kizito na maFISIEMUNaibu Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma wa ACT Wazalendo, Shangwe Ayo Chikala amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Arumeru Mashariki.
Shangwe amechukua fomu kwenye ofisi za Jimbo la Arumeru Mashariki zilizopo Tengeru Arusha, leo tarehe 18/05/2025.