Naibu Katibu Mkuu Zanzibar CUF akabidhi kadi kwa wanachama wapya Jimbo la Mfenesini

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar CUF, Fake Suleiman akabidhi kadi kwa wanachama wapya wa Jimbo la Mfenesin Zanzibar.
Pia Naibu Katibu Mkuu amewaasa wanachama na wananchi kwa ujumla kuchukua tahadhali na kujikinga na ugonjwa wa CORONA Zanzibar. Amewataka wanachama na wanachi kuosha mikono na sabuni pamoja na maji yanayotiririka .
 
Kama watu hao hao wangehamia CCM kungekuwa na kelele sana kwamba wamenunuliwa. Mtujuze sasa CUF imewanunua hao kwa bei gani?
 
Wapenda Mabadiliko Wa Kweli Wote Walishahama Cuf,jamani Cuf Ya Sasa Imezidiwa Nguvu Na Act Ci Bara Wala Zanzibar
 
Back
Top Bottom