chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 533
ndio kazi yao, utawasikia tu na nilazima watampeleka yule jini wao aliyeasi dini.hivi tena chadema watatumia udini igunga?
ndio kazi yao, utawasikia tu na nilazima watampeleka yule jini wao aliyeasi dini.hivi tena chadema watatumia udini igunga?
Mbunge mmoja wa CCM B wakati akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani alisema na kuitangazia dunia kwamba wamejitoa rasmi kwenye upinzani kwa sababu wabunge wa Chadema wamekuwa wanamkosea adabu spikaHiki Chama chake si kilishakufaga huku Bara!
Heche alikuwa huko...kaumbuka.........nyie mmekalia fitina tuu!! Endeleeni mwisho wenu unakuja!
<br />Hapa Bara CCM B ina viongozi wawili tu.Lipumba na Mtatiro wengine wote wanatoka zanzibar.Mtaweza mtanange wa makamanda wa upinzani?? Kwa uchache tu nawataja..Lema,Mnyika,Wenje,Msigwa,Lissu,Zitto,Mdee,Abwao,heche,Sugu,Silinde na mwisho funga kazi Mbowe na Slaa.Hawa ni kama tone tu la maji katika makamanda watakaoongoza kampeni za upinzani Igunga.CCM B mpooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!
hivi tena chadema watatumia udini igunga?