Naibu katibu mkuu CCM bara Rodrick Mpogoro afungua mafunzo kwa makatibu wa UVCCM Tanzania bara na visiwani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,504
9,284
Naibu katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi ndg; Rodrick mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam.

vcvc5.JPG


Mwenyekiti wa umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi Ndg:Sadifa Juma khamisi akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam

vcvc4.JPG


Kaimu katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi shaka Hamdu Shaka akizungumza katika Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam

vcvc1.JPG


vcvc2.JPG


washiriki wa mafunzo elekezi wakifuatilia mafunzo

vcvc9.JPG


Mshiriki Katibu wa umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa kirimanjaro ndg; abdulrahim hamid akiuliza swali wakati wa Mafunzo elekezi kwa makatibu wa umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara
na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaa.(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)


Mjengwa blog
 
Back
Top Bottom