Naibu Jaji mkuu Kenya akamatwa

City Of Lies

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
3,755
4,178
1.jpg

Naibu Jaji mkuu Kenya Philomena Mwilu amekamatwa katika mahakama ya juu zaidi Nairobi kutokana na tuhuma za rushwa.

Jaji Mwilu amepelekwa katika makao ya idara ya uchunguzi wa uhalifu DCI kuhojiwa.

Ni kiongozi wa juu serikalini kukamatwa katika operesheni ya serikali kukabiliana na rushwa nchini.

Muda mfupi baada ya kukamatwa, mwendesha mashtaka mkuu nchini Noordin Haji ameitisha mkutano wa dharura na waandishi wa habari kuhusu suala hilo.

BBC Swahili
 
View attachment 849362

Tuhuma dhidi ya huyu Jaji ni za uongo. Hukumu ya jopo la majaji dhidi ya serikali ya Uhuru Kenyatta mwaka jana ndio sababu kubwa ya huyu Jaji kukamatwa.
 
Kumbe cheche za magufuli zimefika mpaka huko? du. Watumbuliwe tu
 
Tuhuma dhidi ya huyu Jaji ni za uongo. Hukumu ya jopo la majaji dhidi ya serikali ya Uhuru Kenyatta mwaka jana ndio sababu kubwa ya huyu Jaji kukamatwa.

Ok...suala hapa ni kama amekamatwa au hajakamatwa...hayo mambo ya tuhuma kama ni za uongo au siyo haina 'tija' kwa sasa...
 
Huwezi kumkamata Naibu Jaji Mkuu kama kibaka wakati kunautaratibu wa kumshtaki kupitia mahakama maalum (Judicial Commission)
Criminal case haipiti Judicial Commission mkuu! Issue ingekuwa inahusiana na maadili ndiyo ingepitia huko.
 
Inashangaza kutwa kuna mabazazi humu yanaimba na kupigia vigelegele Demokrasia ya Kenya na Uhuru Kenyatta.
Hapa sio mambo na demokrasia bali ni kila mtu aubebe mzigo wake. Kama hatapatikana na makosa basi na awe huru na arudi kazini. Kenya tumezoea ''big fish'' kutopelekwa mahakani au hata kukamatwa licha ya tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya mamlaka na pindi mtu anaposhtakiwa kwa makosa hayo, kesho unampata yupo huru kwa njia za utatanishi. Mkuu naomba uangalie mambo haya kwa makini kabla hujawanyoshea kidole kina Uhuru au Demokrasia ya Kenya.
Ni kwa manufaa ya wananchi au mwanainchi yeyote pale duniani kupata haki zake kupitia mahakama na kesi ikawa ipo huru and fair to all si kila saa masikini ndiye anayepatikan kwenye hatia na kufungwa, tunataka pia wafisadi wakuu wapitie wembe huo huo kwa manufaa na ukuaji wa Nchi.
 
Tokea lini Uhuru na genge lake wakaiacha Kesi ikawa Huru mahakamani!? Tafadhali nijibu..
Kenya hakuna Demokrasia...nenda kamuulize Jaji Malaga & Team watakusaidia mawili matatu mkuu.
 
Hapa sio mambo na demokrasia bali ni kila mtu aubebe mzigo wake. Kama hatapatikana na makosa basi na awe huru na arudi kazini. Kenya tumezoea ''big fish'' kutopelekwa mahakani au hata kukamatwa licha ya tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya mamlaka na pindi mtu anaposhtakiwa kwa makosa hayo, kesho unampata yupo huru kwa njia za utatanishi. Mkuu naomba uangalie mambo haya kwa makini kabla hujawanyoshea kidole kina Uhuru au Demokrasia ya Kenya.
Ni kwa manufaa ya wananchi au mwanainchi yeyote pale duniani kupata haki zake kupitia mahakama na kesi ikawa ipo huru and fair to all si kila saa masikini ndiye anayepatikan kwenye hatia na kufungwa, tunataka pia wafisadi wakuu wapitie wembe huo huo kwa manufaa na ukuaji wa Nchi.
Kama mko serious na kupambana na ufisadi mngeanza na Ruto na Waiguru

Ruto, Waiguru fight Ipsos graft ranking
 
Back
Top Bottom