Nahume za kushonea nguo Kwanza.

cool d

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,743
1,749
Wasalamu! Naomba kufahamishwa sehemu gani Mwanza mjini naweza kupata machine za kushonea nguo na bei zake, e.g Cherehani na overlock machine. Mbarikiwe kwa muda wenu mtakao nisaidia.
 
Namaanisha machine za kushonea Mwanza ntapata wapi?
 
Back
Top Bottom