nahtaji raman ya nyumba

nahtaji raman ya nyumba

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,893
Reaction score
5,076
Nahtaji raman ya nyumba kuanzia plan ya flor mpaka paa lenyew .
iwe ya room3 vyumba viwe na ukubwa wa kutoshana pia na sebule
pia kuwe na makabati vyumbani na chumba kidogo kabisa cha jiko
baraza ya kupumzikia

Sihtaji self contained house wala master kwny hyo nymba.


Eneo la ujenzi:moshi vijijini

NB designer mwenye resonable price and smart arts ntampa priority zaidi nichek kwa whatup 0758115734
 
Back
Top Bottom