mkuu habari, kama unahitaji galaxy pocket nitafute..nina wife wangu anataka kubadilisha simu,,sasa kapiga mahesabu anataka 1.2 laki,,anakupa na vikoro koro vyote na box juu na cover,,ina kama miez 6 ila still new,,full screen protector n.k
ki ufupi mamaa anajitahid kutunza cmu ase